Si kwa ubaya ila nabi PENGINE kaishiwa mbinu au wachezaji wanamuangusha

Bado mimba waliyotungishwa na MAYELE inawatesa sana MAKOLOKOLO FC A.K.A MBUMBUMBU [emoji13]
 
Sasa sie waluguru tumewakosea nini tena jamani.....mbona tulivyobeba ndoo za ligi na fa hamkutusema🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kweli matokeo ya jana yamekuchanganya sana.Leo unacomment kama siyo wewe unayeongeleaga ukweli wa team yako inapovurunda.Hivi kweli kwa ule msako wa dk 20 za mwisho kuna matumaini kule Sudan ya kufuzu kuelekea makundi?
 
Kama mnafungwa na vinyesi FC ninyi si ni funza kabisa walio nyoro nyoro kama makamasi ya kike [emoji1]
Sawa. Ukiwa na uelewa wa kuchanganua mambo uje na fact hapa. Ligi za ndani usamjo na figisu mixer miamala. Ila kiuhalisia nyie ni vinyesi fc kabsa100% maneno meengi afu kwa pitch 🚮🚮🚮
 
Sasa hizo unbeaten za mchongo zimekusaidia nini huku Kimataifa? Si unaona unavyodharirika sasa.Subiri 2nd leg unakwenda kudharirika zaidi ya jana.
 
Mzamir Nasir ( jezi namba 9)
Na Abdlaheeman ( Rasi jezi namba 10)
Wanawasalimia wanayanga, wanasema hivi Sudan wataanza😂😂😂.

Kwa wasiomjua Rasi ndio MVP wa ligi ya sudan, na ndio Captain mkuu wa Al hilal.
 
Mbumbumbu mna matatizo sana vichwani mwenu, madish yenu yameyumba sana sio bure, Timu yenu mmeisahau kabisa kuiongelea mmejikita kutoa ushauri mbuzi kwa yanga ambayo kiubora imewazidi mbali sana, unamsema kocha Nabi ambae kama kweli unaujua mpira uwezi kumkosoa kwa mistake moja anayokuwa amefanya, kila kocha anao mfumo wake anaopenda kuutumia ukiferi anaubadilisha usifikiri mpira ni kama bonanza kila mtu ni kocha, unaposema rotation ni rotation ipi unayoitaka wewe, nyie mbona amuwafanyii rotation kina akpan, kina nyoni, kina kakolanya kwenye mechi muhimu mnashindwa nini? Msiwe mnajidhalilisha kuonyesha mapungufu yenu ya akili
 
Sasa hizo unbeaten za mchongo zimekusaidia nini huku Kimataifa? Si unaona unavyodharirika sasa.Subiri 2nd leg unakwenda kudharirika zaidi ya jana.
Wewe kitulize bhana mi nimemjibu mleta mada aliomponda Nabi kwamba kaishiwa mbinu. Halafu pia nipe jibu tumeaibika wapi kwa mfano?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzamir Nasir ( jezi namba 9)
Na Abdlaheeman ( Rasi jezi namba 10)
Wanawasalimia wanayanga, wanasema hivi Sudan wataanza[emoji23][emoji23][emoji23].

Kwa wasiomjua Rasi ndio MVP wa ligi ya sudan, na ndio Captain mkuu wa Al hilal.
Wale naona Ibenge aliamua kuficha silaha zake. Walivyoingia hali ilikuwa mbaya sana. Hapo watu wanatamani kusajili tena. Maana sie wabongo ukiona mtu yupo vizuri wanakimbilia kusajili.
 
Hizo mbinu zitaonekana tarehe 23,yani simba kwa yanga ni ex wetu,tukitaka tunamla mda wowote,uongozi hamna unabaki kujadili ya yanga and 🤭🤭🤭🤭,hwa hilo umekurupuka ndugu
 
Wale naona Ibenge aliamua kuficha silaha zake. Walivyoingia hali ilikuwa mbaya sana. Hapo watu wanatamani kusajili tena. Maana sie wabongo ukiona mtu yupo vizuri wanakimbilia kusajili.
Huwezi kumuondoa mchezaji Al hilal labda wao watake......
 
Wewe kitulize bhana mi nimemjibu mleta mada aliomponda Nabi kwamba kaishiwa mbinu. Halafu pia nipe jibu tumeaibika wapi kwa mfano?

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi ungeenda PM ukamjibia huko kama hutaki kujibiwa hapa.Waulize mashabiki wenzio waliotoa povu baada ya mechi wanajua uchungu wa kudharirika kwa yale matokeo ya jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…