Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
KOLOWIZARD lisilojua nini maana ya football statistics kwa kukariri shots on target pekee [emoji16]Huu ndio mpira mkubwa mliocheza??
Shots on target 3 kwa 6View attachment 2381335
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KOLOWIZARD lisilojua nini maana ya football statistics kwa kukariri shots on target pekee [emoji16]Huu ndio mpira mkubwa mliocheza??
Shots on target 3 kwa 6View attachment 2381335
Wakikujibu hapa nikumbushe Chifu [emoji4]kumbe hata Makolo hupokea bahasha za Yanga[emoji16][emoji16][emoji16]
Bado mimba waliyotungishwa na MAYELE inawatesa sana MAKOLOKOLO FC A.K.A MBUMBUMBU [emoji13]Kwenye hiyo unbeaten ya michezo 43, Simba amekutana na Yanga kwenye mechi 5, yaani klabu ya Simba ilikuwa na mechi 5 (mechi nyingi zaidi kuliko timu yoyote ile) za kuvuruga unbeaten ya Yanga Ila Hali imekua tofauti. Ni Simba ambao wamechangia unbeaten ya Yanga kwa mechi nyingi kuliko timu yoyote iliyokutana na Yanga kwenye unbeaten hiyo, swali ni kuwa je, Simba nayo imenunuliwa kwenye michezo mi 5 mfululizo asimfunge Yanga?
Sasa sie waluguru tumewakosea nini tena jamani.....mbona tulivyobeba ndoo za ligi na fa hamkutusema🤣🤣🤣🤣🤣Forward squard imefanya wajibu waobipaswavyo, kocha kajitahidi sana hatupaswi hata kidogo kumlaumu
Hersi aliyekuwa anasajili ndiye mwenye makosa ya kufikiria timu inashinda kwa forward na middle pekee. Kasahau kabisa walinzi wenye vipaji na miili mirefu, yeye karidhika na watu wa morogoro kaona wanamtosha matokeo yake ndio hayo.
Tulia wewe tunaenda piga bonge lla comeback huko sudan🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukweli ni kwamba watani wameisha aga mashindano
Kweli matokeo ya jana yamekuchanganya sana.Leo unacomment kama siyo wewe unayeongeleaga ukweli wa team yako inapovurunda.Hivi kweli kwa ule msako wa dk 20 za mwisho kuna matumaini kule Sudan ya kufuzu kuelekea makundi?Mko busy kuijadili Yanga, huku timu yenu yenyewe ni tia maji tia maji! Yanga imetoa tu sare! Imecheza mpira mkubwa! Na kila mtu ameona!!
Ila nyinyi kwa sababu ya umbumbumbu wenu, mko busy na Yanga! Kana kwamba hakina kinachoendelea kwenye timu yenu!
Hakika Ismail Addn Rage hakukosea pale alipowaita mbumbumbu! Aisee mnastahili kabisa. Leo mkifungwa tutaona tu kelele zenu humu za kumkataa Matola, Mgunda na CEO Barbara!! Na hii ndiyo maana halisi ya kuitwa mbumbumbu.
Sawa. Ukiwa na uelewa wa kuchanganua mambo uje na fact hapa. Ligi za ndani usamjo na figisu mixer miamala. Ila kiuhalisia nyie ni vinyesi fc kabsa100% maneno meengi afu kwa pitch 🚮🚮🚮Kama mnafungwa na vinyesi FC ninyi si ni funza kabisa walio nyoro nyoro kama makamasi ya kike [emoji1]
Sasa hizo unbeaten za mchongo zimekusaidia nini huku Kimataifa? Si unaona unavyodharirika sasa.Subiri 2nd leg unakwenda kudharirika zaidi ya jana.Mechi 43 unbeaten halafu kuna mbumbumbu mmoja ameshiba njugu mawe anakuja kusema Prof ameishiwa mbinu hivi uko sawasawa kweli wewe?
Umechezwa mpira mkubwa dhidi ya timu kubwa ulikua unategemea nini? Wame tengeneza nafasi zao na sisi tumetengeneza za kwetu lakini wao ndio wanaonekana zaidi kuliko sisi(ushabiki)
Mnaweza kupuga majungu kwa mashabiki wasiokuwa na uelewa mkubwa wa mpira na sio kwa sisi. Halafu inatosha hebu mrudi na nyie mna kipengele huko ugenini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkichukua ubingwa nyinyi mnakua mmepambana tukifanya sisi tumenunua mechi[emoji23][emoji23][emoji23]Unbeaten kwa kununua mechi na kuhonga marefa mkalemaa sasa dawa inawaingia..
On target 3-6 wote tumemaliza na goli moja moja kwa jicho la kimpira huoni kitu hapo au unajitoa ufahamu tu?
Mbumbumbu mna matatizo sana vichwani mwenu, madish yenu yameyumba sana sio bure, Timu yenu mmeisahau kabisa kuiongelea mmejikita kutoa ushauri mbuzi kwa yanga ambayo kiubora imewazidi mbali sana, unamsema kocha Nabi ambae kama kweli unaujua mpira uwezi kumkosoa kwa mistake moja anayokuwa amefanya, kila kocha anao mfumo wake anaopenda kuutumia ukiferi anaubadilisha usifikiri mpira ni kama bonanza kila mtu ni kocha, unaposema rotation ni rotation ipi unayoitaka wewe, nyie mbona amuwafanyii rotation kina akpan, kina nyoni, kina kakolanya kwenye mechi muhimu mnashindwa nini? Msiwe mnajidhalilisha kuonyesha mapungufu yenu ya akiliMechi tano kama sio nne mfululizo anasindwa kupata goli 1st half,inawezekana hana tena mbinu mpya au suala la kumuachia jukumu la kufunga braza mayele ndio shida..
Mchezaji mmoja ndio awe anatolewa macho na mabeki wote kweli jamani?Hata awe ni mchezaji mzuri ila kuna muda mabeki wanamzidi ujanja.
Nadhani ni muda wa kocha nabi kuanzisha angalau double striker ya mayele na makambo ili angalau makambo apate kurudisha kujiamini na kaminiwa na mshabiki,pata picha siku mayele anaumwa au ana shida za kifamilia inakuaje??.
Kwa upande wa mbinu,nabi hana rotation kwenye kikosi chake kabisa,ni kama amekariri kuwa lazima wacheze hao hao tuuu..
Sasa una kiungo kama bigirimana kwanini mechi hata moja asianze???.
Au kisa hakuwa chaguo lake?(ndio shida ta kumsajilia kocha).
All in all watani zangu yanga nawaambia tu sudan mwende mkacheze 4 4 2 mkafunguke tuu manake hakuna cha kupoteza,wao watawalazimisha kucheza mchezo wa taratibu ili muda uende tuu wapate hata sare tasa.
Wewe kitulize bhana mi nimemjibu mleta mada aliomponda Nabi kwamba kaishiwa mbinu. Halafu pia nipe jibu tumeaibika wapi kwa mfano?Sasa hizo unbeaten za mchongo zimekusaidia nini huku Kimataifa? Si unaona unavyodharirika sasa.Subiri 2nd leg unakwenda kudharirika zaidi ya jana.

Wale naona Ibenge aliamua kuficha silaha zake. Walivyoingia hali ilikuwa mbaya sana. Hapo watu wanatamani kusajili tena. Maana sie wabongo ukiona mtu yupo vizuri wanakimbilia kusajili.Mzamir Nasir ( jezi namba 9)
Na Abdlaheeman ( Rasi jezi namba 10)
Wanawasalimia wanayanga, wanasema hivi Sudan wataanza[emoji23][emoji23][emoji23].
Kwa wasiomjua Rasi ndio MVP wa ligi ya sudan, na ndio Captain mkuu wa Al hilal.
Hizo mbinu zitaonekana tarehe 23,yani simba kwa yanga ni ex wetu,tukitaka tunamla mda wowote,uongozi hamna unabaki kujadili ya yanga and 🤭🤭🤭🤭,hwa hilo umekurupuka nduguMechi tano kama sio nne mfululizo anasindwa kupata goli 1st half,inawezekana hana tena mbinu mpya au suala la kumuachia jukumu la kufunga braza mayele ndio shida..
Mchezaji mmoja ndio awe anatolewa macho na mabeki wote kweli jamani?Hata awe ni mchezaji mzuri ila kuna muda mabeki wanamzidi ujanja.
Nadhani ni muda wa kocha nabi kuanzisha angalau double striker ya mayele na makambo ili angalau makambo apate kurudisha kujiamini na kaminiwa na mshabiki,pata picha siku mayele anaumwa au ana shida za kifamilia inakuaje??.
Kwa upande wa mbinu,nabi hana rotation kwenye kikosi chake kabisa,ni kama amekariri kuwa lazima wacheze hao hao tuuu..
Sasa una kiungo kama bigirimana kwanini mechi hata moja asianze???.
Au kisa hakuwa chaguo lake?(ndio shida ta kumsajilia kocha).
All in all watani zangu yanga nawaambia tu sudan mwende mkacheze 4 4 2 mkafunguke tuu manake hakuna cha kupoteza,wao watawalazimisha kucheza mchezo wa taratibu ili muda uende tuu wapate hata sare tasa.
Huwezi kumuondoa mchezaji Al hilal labda wao watake......Wale naona Ibenge aliamua kuficha silaha zake. Walivyoingia hali ilikuwa mbaya sana. Hapo watu wanatamani kusajili tena. Maana sie wabongo ukiona mtu yupo vizuri wanakimbilia kusajili.
Basi ungeenda PM ukamjibia huko kama hutaki kujibiwa hapa.Waulize mashabiki wenzio waliotoa povu baada ya mechi wanajua uchungu wa kudharirika kwa yale matokeo ya jana.Wewe kitulize bhana mi nimemjibu mleta mada aliomponda Nabi kwamba kaishiwa mbinu. Halafu pia nipe jibu tumeaibika wapi kwa mfano?
Sent using Jamii Forums mobile app