Jana timu zote zilishambuliana kwa zamu! Kushambuliwa kwenye hizo dakika 20 za mwisho kunaweza kusababishwa na vitu vingi! Benchi la ufundi watafanyia kazi.Kweli matokeo ya jana yamekuchanganya sana.Leo unacomment kama siyo wewe unayeongeleaga ukweli wa team yako inapovurunda.Hivi kweli kwa ule msako wa dk 20 za mwisho kuna matumaini kule Sudan ya kufuzu kuelekea makundi?
Hawa mashabiki wa simba wanahitaji maombi maalum kwa kweli! Eti wanapata kabisa ujasiri wa kumponda Prof. Nabi, huku wenyewe wakiokoteza makocha wasio na mkataba kutoka Coastal Union!!Mbumbumbu mna matatizo sana vichwani mwenu, madish yenu yameyumba sana sio bure, Timu yenu mmeisahau kabisa kuiongelea mmejikita kutoa ushauri mbuzi kwa yanga ambayo kiubora imewazidi mbali sana, unamsema kocha Nabi ambae kama kweli unaujua mpira uwezi kumkosoa kwa mistake moja anayokuwa amefanya, kila kocha anao mfumo wake anaopenda kuutumia ukiferi anaubadilisha usifikiri mpira ni kama bonanza kila mtu ni kocha, unaposema rotation ni rotation ipi unayoitaka wewe, nyie mbona amuwafanyii rotation kina akpan, kina nyoni, kina kakolanya kwenye mechi muhimu mnashindwa nini? Msiwe mnajidhalilisha kuonyesha mapungufu yenu ya akili
Mwapunyeto sio bekiTatizo la Yanga ni beki wa kati,usajili wa Kisinda hauna tija wangelileta beki wa kati. Hslaf Bangala ahasogea kati.
Waliambiwa kwa Yanga hii mwaka huu lazima tufike nusu fainali..yalivyokuwa mazuzu yakashangilia 😂😂Ni kweli timu yetu ni tia maji tia maji na tunaenda kitia maji tia maji na unakuta tunafika mbali sababu tunajua udhaifu wetu.
Sasa nyinyi mashabiki maandazi mnaaminishwa kwamba timu yenu ni bora kisa ina unbeaten ya mchongo na nyinyi mnakubali. Hakika uto ni uto.
Mko busy kuijadili Yanga, huku timu yenu yenyewe ni tia maji tia maji! Yanga imetoa tu sare! Imecheza mpira mkubwa! Na kila mtu ameona!!
Ila nyinyi kwa sababu ya umbumbumbu wenu, mko busy na Yanga! Kana kwamba hakina kinachoendelea kwenye timu yenu!
Hakika Ismail Addn Rage hakukosea pale alipowaita mbumbumbu! Aisee mnastahili kabisa. Leo mkifungwa tutaona tu kelele zenu humu za kumkataa Matola, Mgunda na CEO Barbara!! Na hii ndiyo maana halisi ya kuitwa mbumbumbu.
Mechi 43 unbeaten halafu kuna mbumbumbu mmoja ameshiba njugu mawe anakuja kusema Prof ameishiwa mbinu hivi uko sawasawa kweli wewe?
Umechezwa mpira mkubwa dhidi ya timu kubwa ulikua unategemea nini? Wame tengeneza nafasi zao na sisi tumetengeneza za kwetu lakini wao ndio wanaonekana zaidi kuliko sisi(ushabiki)
Mnaweza kupuga majungu kwa mashabiki wasiokuwa na uelewa mkubwa wa mpira na sio kwa sisi. Halafu inatosha hebu mrudi na nyie mna kipengele huko ugenini
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani sanaaa yani huyu ni anaumiagaaaaNajua roho inakuuma sana.
Kwan si uprofeaaor mmemtunuku juzi juzi tu iweje leo hana mbinu ? Yanga mkumbuke mkishindwa haumu CAF CL mtaangukia CAF CCCMechi tano kama sio nne mfululizo anashindwa kupata goli 1st half,inawezekana hana tena mbinu mpya au suala la kumuachia jukumu la kufunga braza mayele ndio shida..
Mchezaji mmoja ndio awe anatolewa macho na mabeki wote kweli jamani?Hata awe ni mchezaji mzuri ila kuna muda mabeki wanamzidi ujanja.
Nadhani ni muda wa kocha nabi kuanzisha angalau double striker ya mayele na makambo ili angalau makambo apate kurudisha kujiamini na kaminiwa na mshabiki,pata picha siku mayele anaumwa au ana shida za kifamilia inakuaje??.
Kwa upande wa mbinu,nabi hana rotation kwenye kikosi chake kabisa,ni kama amekariri kuwa lazima wacheze hao hao tuuu..
Sasa una kiungo kama bigirimana kwanini mechi hata moja asianze???.
Au kisa hakuwa chaguo lake?(ndio shida ta kumsajilia kocha).
All in all watani zangu yanga nawaambia tu sudan mwende mkacheze 4 4 2 mkafunguke tuu manake hakuna cha kupoteza,wao watawalazimisha kucheza mchezo wa taratibu ili muda uende tuu wapate hata sare tasa.
Hili ndio tatizo kabsaaa
Mkiambiwa hamnazo mnatoa povu,hivi unapata wapi ujasiri wa kuwakana hao kima wenzako? Nyie ni maamuma kweli kweli.Hao ni mbumbumbu wenzako. Mashabiki wa Yanga hatuna mihemko ya kipuuzi.
Mzamir Nasir ( jezi namba 9)
Na Abdlaheeman ( Rasi jezi namba 10)
Wanawasalimia wanayanga, wanasema hivi Sudan wataanza[emoji23][emoji23][emoji23].
Kwa wasiomjua Rasi ndio MVP wa ligi ya sudan, na ndio Captain mkuu wa Al hilal.
Mwarabu ameshawalainisha mkifika Sudan anajimiminia magoli ya kutosha mkijarudi mnatema mate tu kudadadeqHawa mashabiki wa simba wanahitaji maombi maalum kwa kweli! Eti wanapata kabisa ujasiri wa kumponda Prof. Nabi, huku wenyewe wakiokoteza makocha wasio na mkataba kutoka Coastal Union!!
Na muda si mrefu huyo kocha wao wa kuokoteza na yeye watamtimua tu kama kawaida yao! Imagine ndani ya misimu miwili wameajiri zaidi ya makocha wanne!!
Hizo mbinu zitaonekana tarehe 23,yani simba kwa yanga ni ex wetu,tukitaka tunamla mda wowote,uongozi hamna unabaki kujadili ya yanga and [emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960],hwa hilo umekurupuka ndugu
Simba leo anakuafa 3Ni kweli kabisa yanga mtaifunga simba sana tuu ila je??LEO MMEFURAHI?????
Haya timu yako ya simba inacheza saa ngapi? Yanga imeshacheza jana na kutoa sare!Mkiambiwa hamnazo mnatoa povu,hivi unapata wapi ujasiri wa kuwakana hao kima wenzako? Nyie ni maamuma kweli kweli.
Haya hamishieni nguvu sasa kwa viungo wenu konokono, punda na nungunungu! Wanacheza leo. Na mna makocha wawli; yule mnaye msimanga timu inapofungwa, na yule ambaye alikuwa hana mkataba kule Coastal Union.Unajua on target maana yake nini????maana yek walikuwa wametengeneza nafasi nyingi kuwaliko ,kama wangetumia wise basi jana full time ingekuwa yanga3-hilal 6