Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Jana timu zote zilishambuliana kwa zamu! Kushambuliwa kwenye hizo dakika 20 za mwisho kunaweza kusababishwa na vitu vingi! Benchi la ufundi watafanyia kazi.Kweli matokeo ya jana yamekuchanganya sana.Leo unacomment kama siyo wewe unayeongeleaga ukweli wa team yako inapovurunda.Hivi kweli kwa ule msako wa dk 20 za mwisho kuna matumaini kule Sudan ya kufuzu kuelekea makundi?
Mimi kama mshabiki wa Ywnga, nafurahia namna timu yangu inavyo pambana! Ifuzu, isifuzu! Bado nitaiunga mkono mwanzo mwisho.