Wote ni bonge la ngoma kaka. Ni wazo la kikubwa, tofauti na ngoma nyingi za mapenzi za hawa watoto wa Bongo Flava. Kingine ile ngoma ni amerudi kwenye Bongo Flava.Sijawahi kuwa fan wake Ila sidhani kama kaflop kama mnavyosema maana kuna nyimbo kama wote na single again ni mega hit kwa level za Tanzania.
Sema jamaa apunguze mbwembwe za kutaka kuongelewa kila siku pasipo sababu za msingi lakini pia ku-fake hiyo bad boy personality kwa cheap American accent
Kitu nnachokiona ni hicho mtu ambae hafi kimziki ni Alikiba pekee
Harmonize simkubali kbx. But ukweli hapo boomplay ana album mbili kwenye top tenNyimbo anazotoa hazina mvuto tena na hazishiki number one kwenye platform yoyote mpaka boomplay ambayo inaonewa mpaka na maunderground kwa kushika number one trending.
Watu wanamkimbia kwenye show. Kondegang ndo hivyo imekufa plus kiki zake ndo hivyo hazihit. Hali ikiendelea hivi basi hatutomsikia tena Harmonize.
Ile ni pure bongo flava na Ule wimbo hata kama ni hater wa harmonize toka moyoni lazma uukubali.Wote ni bonge la ngoma kaka. Ni wazo la kikubwa, tofauti na ngoma nyingi za mapenzi za hawa watoto wa Bongo Flava. Kingine ile ngoma ni amerudi kwenye Bongo Flava.
Ova
Hata yeye anakufa kimziki ni vile tu hapendi show off. YoooooooooKitu nnachokiona ni hicho mtu ambae hafi kimziki ni Alikiba pekee
Sa unazani kupendwa kwa msanii wanatumia statical way ipi..?Nje ya topic kidogo. Huwa sielewi mtu akisema on trending. Huko YouTube au boomplay sijui. Hivi msanii akitoa Ngoma halafu raia wakaenda kuangalia au kuisikia let's say watu 2m just kuangalia video au kuisikiliza kwa kuwa wamesikia msanii x ametoa ngoma.
Je hiyo 2m views ndo kupendwa hadi watu wanasema ngoma inatrend sana au naomba kueleweshwa.
Maana hata mm huwa mara chache naweza kuta wimbo au video mtandaoni nikaamua kuangalia Tu hii haimaanishi nmeipenda.