Si kwamba hatupendi kufanikiwa

Dim Ray

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2019
Posts
320
Reaction score
249
Watu wengi wakiwaona watu hawafanikiwi huibuka na misemo yao mingi kama uvivu wa ukoo wao unamtafuna, alikuwa mbeja mgawa embe mimba angepatia wapi, kwao aliyefanikiwa kaishia darasa la nne yeye ni nani, baba yake ni mgonjwa ivyo ivyo.

Kama umewahi kukutana na maneno haya, tafadhali ninaomba utoe mchango wako uwasaidie wanaopitia hali hii, wengine wanahitaji maneno machache tu kuinuka tena.
 
Mtoto akiwa kichwa maji, amechukua akili za mama yake.

Mtoto akiwa vizuri kichwani, amechukua akili za baba yake.
 
Ujinga unaonekana jinsi unavyomjibu mtu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…