Dim Ray
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 320
- 249
Watu wengi wakiwaona watu hawafanikiwi huibuka na misemo yao mingi kama uvivu wa ukoo wao unamtafuna, alikuwa mbeja mgawa embe mimba angepatia wapi, kwao aliyefanikiwa kaishia darasa la nne yeye ni nani, baba yake ni mgonjwa ivyo ivyo.
Kama umewahi kukutana na maneno haya, tafadhali ninaomba utoe mchango wako uwasaidie wanaopitia hali hii, wengine wanahitaji maneno machache tu kuinuka tena.
Kama umewahi kukutana na maneno haya, tafadhali ninaomba utoe mchango wako uwasaidie wanaopitia hali hii, wengine wanahitaji maneno machache tu kuinuka tena.