Sawa sawa mi naona tufanye kabisa mil 200 ndo itawapa utulivu.hapana, hiyo nakataa kabisa sikubaliani na wewe 🐒
Tanzania hatuwezi kukaukiwa na chochote, na wala hatuwezi kukaribia huko sembuse kufika 🐒
we have everything in hand,
let's invest enough and heavily kwa hizi brain hapa mjengoni ili hatimae comfortably watusaidie kutafakari kwa makini, wafikiri vizur, wajadiliane kwa umahiri zaidi na hatimae waje na mipango, sera, Sheria na hitimisho la kuwakomboa waTz, kiuchumi, kisiasa na kijamii 🐒