Si kwamba napinga ila Nisaidieni kwa kina, Ni ipi sababu ya msingi ya mshahara wa mbunge kuwa mil 18?

Sawa sawa mi naona tufanye kabisa mil 200 ndo itawapa utulivu.
 
Tuwaacheni wawakilishi wetu jamani,mbona tunawasonga songa na maneno sijuwi mishahara.Mishahara yenyewe ni kidogo lakini hatuwaonei huruma.Nashangaa anayetaka kulinganisha kazi sijuwi ya uwalimu, udaktari dhidi ya uwakilishi.Uwakilishi unaingia zaidi ya kada nyingi TU humo.Acheni walipwe vizuri waweze kutuwakilisha.
 
Juzi katika pita pita mitandaoni nikaona kwenye ukurasa wa bunge umekana ongezeko hilo la mshahara na posho kama alivyonukuliwa Mbowe. Sasa nikajiuliza, kwa nini wasimfungulie mashitaka kwa kulidharirisha bunge na kulizulia uongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…