Si lazima kwa timu za Simba na Yanga kushinda kila mechi

Si lazima kwa timu za Simba na Yanga kushinda kila mechi

Itovanilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2018
Posts
2,314
Reaction score
5,150
Hello JamiiForums,

Moja kwa moja kwenye mada,ndugu zangu na mashabiki wenzangu wa mpira wa miguu (football).

Naomba basi tujifunze na kuheshimu timu zingine,tuache ile hali ya kuona kuwa hizi timu mbili za Simba na Yanga haziwezi kufungwa

Yaani mchezo wa jana kati ya Mbeya City wenyeji inaonekana kama vijana wa nyanda za juu hawakustahili kushinda.

Binafsi sikubaliani,tusikariri kwamba hizi timu zetu lazima ziondoke na point tatu hapana,lazima tujue kuwa kwanza kila timu Iko ligi kuu na inazisaka point tatu,

Pili, tumezoea ukubwa wa majina ya klabu tunasahau kuwa usajili wa uhakika nao ni muhimu ili kujihakikishia kushinda kila mechi.

Naona kwenye social media kocha Pablo analalamikiwa,anasimangwa, kejeli na dharau kibao mimi naona si sahihi kwakuwa kufungwa siyo ajabu

Ni huyo huyo katoka kuwapa zawadi ya Kombe la Mapinduzi na vijana wake akina Sakho[emoji23][emoji23]

Najua kinachowauma ni

1. Goli limefungwa mapema kwamba ilitakiwa ifanyike juhudi lirudi haikuwa hivyo

2. Simba walipata penati ambayo haikuzaa matunda

3. Mbeya City walipungukiwa mchezaji ambapo ilikuwa advantage kwa timu pinzani lakini wapi,inauma sana[emoji23][emoji23]
 
Shabiki wa Simba au Yanga anaweza kuwa shabiki wa Liverpool au Real Madrid. Anaona ni kawaida na ni mambo ya mpira Liverpool kufungwa na Southampton au Madrid kufungwa na Eibar, lakini anaamini haiwezekani Simba na Yanga kufungwa na Mwadui au Ihefu.

MASHABIKI WA SOKA LA BONGO WENGI WANA MATATIZO YA AKILI.

Niko Songea Bombambili njoeni mnipige.
 
Kuna POPOMA humu anajiita GENTAMYCINE yeye anaamini KUNUNUA,UROZI NA KUKAMIWA tu haamini kufungwa au kushinda kihalali🤣🤣🤣😅😅😅
 
Kuna POPOMA humu anajiita GENTAMYCINE yeye anaamini KUNUNUA,UROZI NA KUKAMIWA tu haamini kufungwa au kushinda kihalali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23] anakuja sa iv anaandika anafuta!
 
Shabiki wa Simba au Yanga anaweza kuwa shabiki wa Liverpool au Real Madrid. Anaona ni kawaida na ni mambo ya mpira Liverpool kufungwa na Southampton au Madrid kufungwa na Eibar, lakini anaamini haiwezekani Simba na Yanga kufungwa na Mwadui au Ihefu.

MASHABIKI WA SOKA LA BONGO WENGI WANA MATATIZO YA AKILI.

Niko Songea Bombambili njoeni mnipige.
Uko sahihi, kwani AC Milan jana usiku kimemtokea nini?!
 
Karibu mfaranyaki.
Shabiki wa Simba au Yanga anaweza kuwa shabiki wa Liverpool au Real Madrid. Anaona ni kawaida na ni mambo ya mpira Liverpool kufungwa na Southampton au Madrid kufungwa na Eibar, lakini anaamini haiwezekani Simba na Yanga kufungwa na Mwadui au Ihefu.

MASHABIKI WA SOKA LA BONGO WENGI WANA MATATIZO YA AKILI.

Niko Songea Bombambili njoeni mnipige.
 
Kocha mnayesema Madrid sijui kafundisha,sijui kama atamaliza msimu huu
 
Back
Top Bottom