Si mbaya kabla Diamond hajatoa Album aende kuomba ushauri kwa Harmonize?

Si mbaya kabla Diamond hajatoa Album aende kuomba ushauri kwa Harmonize?

Nyuzi za WCB humu zimepungua kwanza baada ya kati ya vijana wawili mashuhuri kuleta nyuzi na kutetea wcb ,mmoja picha na video zake kuvuja huko insta na groups za whatsapp akitinduliwa marinda.

acha masihara mkuu
 
Sisi tunaona kingereza chake hakieleweki kumbe huko wanako kiongea wanamwelewa. Hongera kwake.
I go die[emoji23][emoji23]. Ni sisi tu hatumuelewi

Sent using motorola
 
Back
Top Bottom