GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Matukio ya watu kutoweka katika mazingira yenye kutatanisha huku askari polisi wakihusishwa kuwashikilia yanaendelea kushika kasi nchini.
Taarifa mpya zilizolifikia Mwananchi zinadai kuwa vijana wanne wilayani Temeke, Dar es Salaam na mkazi mmoja mkoani Geita wametoweka na jitihada za kuwatafuta hazijazaa matunda kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa.
Taarifa zinasema vijana Ramadhan Sultan (20), Charles Kelvin (18), Abdulrazack Salim (18), na mwenzao ambaye taarifa zake hazikupatikana, wametoweka tangu Juni 20, 2024.
Chanzo: mwananchi_official ( dakika 42 tu zilizopita )
Kuna Mtu aliniambia kuwa Awamu hii ni Mtindo wa Kimya Kimya sikumuelewa ila sasa nimeanza Kumuelewa vyema.