Si mmejifanya kumfukuza Pierre Lechantre kwa Majungu sasa Masoud Djuma laana inamuanzia huko Nakuru

Si mmejifanya kumfukuza Pierre Lechantre kwa Majungu sasa Masoud Djuma laana inamuanzia huko Nakuru

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Malipo ya Mnafiki huwa ni hapa hapa duniani. Yule yule ambaye amekuwa akimpiga Majungu Kocha Pierre Lechantre afukuzwe kisha Timu apewe Yeye Masoud Djuma Irambona sasa ' laana ' ya Mzungu inaanza kumpata huko AFRAHA Stadium Nakuru.

Si mlikuwa mnajifanya Kocha Mzungu Lechantre hana umuhimu na Timu haichezi vizuri na inashinda tu ushindi wa ' Kiduchu ' sasa tayari Vijana wa ' Kogelo ' wameshatuweka ' Kidude ' na kuna kila dalili kwamba leo tutachezea mengi tu.

Nami naomba tufungwe tu ili sasa tuone Masoud Djuma Irambona atafanyeje kwani ni Kocha ' Mnafiki ' sana na mpika ' Majungu ' ndani ya Kikosi japo wapuuzi wenzake ambao ni Mashabiki wa Simba SC baadhi yao hawana wanalolijua.

Leo wala sifichi nataka ' tufungwe ' na Gor Mahia ' Wana Kogelo ' ili tuheshimiane hapa mjini japo Mimi ni mwana Simba SC ' Kindakindaki ' ila kwa nilivyochukizwa na kufukuzwa kwa Kocha ' Fundi ' kabisa Mfaransa Pierre Lechantre wakati sijaona tatizo lake na angebaki angetusaidia mno Simba SC.

Tufungwe tu potelea mbali!!!!!!!!

Nawasilisha.
 
Ngapi ngapi huko mkuu

Tumeshafungwa ' Kimoko / Moja ' na Mimi naombe tufungwe hata goli 13 leo ili tukome na tuache ' Upuuzi ' wa kuwa ' Unprofessional '. Na mpaka sasa naziona Goli nyingi tu leo. Si mmejifanya ' Kumdhihaki ' Mzungu Lechantre huku mkisema hana Kitu na Timu akabidhiwe ' Mnafiki ' Masoud Djuma Irambona ambaye wala sifichi simkubali na hana uwezo wa Kuifundisha Simba SC na kuipa mafanikio kivile!

Tufungwe tu leo!!!!!!!
 
Acha mihemko ya mapema wewe. There aint't direct relationship btn mpira na laana
 
nasikia mzungu alikiwa anataka alipwe mara mbili ya alizokuwa anapata

Hata kama alikuwa anataka alipwe hiyo 43 Million Shillings nadhani kwa uwezo wake mkubwa alikuwa anastahili. Tofauti na wengi Mimi huyu Kocha nimemfuatilia kote alikopita na niseme tu kwamba kama kulikuwa na Kipindi ambacho Simba SC tulipata bahati na tumeichezea ya kumpata Kocha mzuri ambaye angetusaidia na kutupeleka mbali basi alikuwa ni huyu Mzungu Mfaransa Pierre Lechantre. Nimeumia na nimesikitika sana kwa Yeye Kufukuzwa au Kuachwa kama vile hakuna alichotufanyia Kizuri na cha kutusaidia.

Tufungwe tu leo na Gor Mahia ili tuheshimiane kudadadeki!!!!!!!
 
Manji akiibuka anaye huyu. Tatizo la simba wajanjawajanja wako
wengi. Sisi kule mjanja wetu ni mzee Akilimali, akishushiwa gunia la viazi anatulia.
 
Back
Top Bottom