Si mmejifanya kumfukuza Pierre Lechantre kwa Majungu sasa Masoud Djuma laana inamuanzia huko Nakuru

Si mmejifanya kumfukuza Pierre Lechantre kwa Majungu sasa Masoud Djuma laana inamuanzia huko Nakuru

Ahsante kwa kunielewa Mkuu kwani wanaomuelewa GENTAMYCINE kama Wewe huwa ni wachache sana halafu hata IQ zao nazo huwa ni za juu mno kama siyo sana. Sasa ili uone huyu Kocha wenu wa ' hovyo hovyo ' Masoud Djuma Irambona ni mbabaishaji na hana lolote leo ndani ya dakika 8 kafanya ' Substitution ' Nne halafu zote zilikuwa mbaya na zisizo na faida hadi mwishowe sasa akawa anajifanya kumtupia lawama Mwamuzi ambaye binafsi sijaona kama leo ametuuma Simba SC ila Simba SC tumefungwa hasa ' Kiufundi ' huku pia ' Nidhamu ' ya Wachezaji wetu karibia wote waliocheza leo ikiwa ni ya chini chini mno. Hakuna Kocha hapo tusidanganyane tafadhali!
Yote uloyasema hapa niukweli tupu .

Sub mbov, nidham ndogo, alafu akaanza kuzuga ...

Simba km mfaransa hatorudi, mwakan tunakua yanga.
 
Kufungwa ni sehemu ya mchezo.. Kubadili kocha ni maamuzi ya timu.
Nani hafungwi?.. Nani atadumu?
 
Yote uloyasema hapa niukweli tupu .

Sub mbov, nidham ndogo, alafu akaanza kuzuga ...

Simba km mfaransa hatorudi, mwakan tunakua yanga.

Kama utakuwa ulimsikiliza jana katika Interview yake na Mtangazaji Otieno huyu Kocha wenu ' Mpuuzi ' na ' Mnafiki ' alihojiwa kwamba haoni kukosekana kwa Wachezaji muhimu akina Okwi, Boko, Kwasi na Kotei Simba SC ingefanya vibaya leo? Jibu alilojibu tena alilijibu kwa jeuri na nyodo kabisa kwamba Simba SC haiwategemei hao kwani ana Kikosi kipana na wapo Wachezaji ambao wanaweza kucheza kama wao na ana imani leo wangefanya vyema.

Sasa leo katika ' post match interview ' kaulizwa kwanini Simba SC imefungwa jibu la haraka alilotoa ni kwamba Timu yake imewakosa Wachezaji wake muhimu kama Okwi, Boko, Kwasi na Kotei na kwamba pia hali ya hewa na Nakuru iliwaathiri kwa kiasi fulani.

Nadhani kwa maelezo haya tu mafupi wale Mashabiki wa Simba SC ' Wapuuzi ' ambao mlikuwa mnata Timu akabidhiwe ' Mnafiki ' Masoud Djuma Irambona mtakuwa mmeshajua ni aina gani ya Kocha ambaye mnahatarisha kumpa Jukumu kubwa na zito la Kuifundisha Klabu kubwa na maarufu kama ya Simba SC.

Nisiwafiche ni Kocha ambaye simpendi na simkubali ng'o ndani ya Simba SC kwani ana Majungu, Fitna, Unafiki na anawagawa kila uchao Wachezaji wa Simba SC na kibaya zaidi ni Kocha ambaye anaongozwa na Marafiki zake wawili ambao ni Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba SC ambapo kati ya hao Wajumbe wawili mmoja wapo ni Shabiki wa Kutupwa kama siyo ' lia lia ' kabisa wa Yanga SC kwani nimeshawahi hata kucheza nae mpira katika Ngazi za Shule na Ligi Daraja la Tatu miaka ya 90 kuja kufikia miaka ya 2000 hapo na hanidanganyi kitu.
 
Kufungwa ni sehemu ya mchezo.. Kubadili kocha ni maamuzi ya timu.
Nani hafungwi?.. Nani atadumu?

Kwani kuna Mtu amekataa kuwa Kufungwa si sehemu ya mchezo? Umeelewa hoja ya msingi hapa au umekurupuka tu kutoka Chooni ambako labda ulikuwa bado unakunya / unaukweka ndipo umekimbilia tu mara moja kujibu kisha urudi tena msalani kuendelea na zoezi lako la kupunguza ' Kiporo ' chako cha Makande ulichokula?

Hivi Kocha anafukuzwa ndani ya mashindano? Kocha anaweza kufukuzwa bila Wapenzi kuambiwa sababu ni nini? Hivi kwa Kocha mwenye CV kubwa kama ya Pierre Lechantre na ambaye ametupa Ubingwa ' tuliousotea ' kwa takribani misimu mitano alipashwa kuondolewa ' Kihuni ' na ' Kihovyo hovyo ' hivi?

Nilikuwa nakuona una ' akili ' ila kuanzia leo naanza Kukudharau rasmi. Kajifunze upya masuala ya mpira ukishayajua rudi tena uweze ' Kujibizana ' nami ila kwa huu ' uharo ' wako uliouandika hapa huna hata a,b,c's za masuala ya mpira tena hasa huu wa Kibongo na sijui hata kama ile ya Ulaya utakuwa unaielewa.
 
mkuu kweli jana Djuma ameurudisha mnara wa 4g kama kawaida yake
 
Wajumbe wako wa Kamati ya Utendaji wakiongozwa na mmoja wao ambaye ni ' Shoga ' wa Kujificha hawataki Wachezaji ambao hawakati ' ganji ' ( namaanisha hawatoi 10% zao za Posho, Mishahara na Usajili ) na Elias Maguri ( Poti wangu kutoka Mkoani Mara ) ujinga huu hautaki.
Mkuu kweli mambo ya Mpira wa Simba Sc kiasi unayafahamu, hayo uliyoaandika kwa asilimia kubwa yana ukweli mtupu, niliwahi kusikia cha cha Simba kuwaacha wachezaji hao wa akina Elias Maguli msimu wa 2015/2016 ni kutokana na shinikizo la aliyekuwa kocha msaidizi wa wakati huo Seleimani Matola kukataliwa 10% kutoka kwa hao wachezaji na ndipo akapiga zengwe la maana hao wwchezaji walipo toka kule Zanzibar tu katika mashindano wakaachwa.

Na sasa tumesikia Simba wanataka kumrudisha Selemani Matola kujabkiwa kocha msaidizi! Kama ndivyo basi safari ya Mpira katika Nchi yetu bado kubwa sana kuyafikia melengo na manufaa yatokanayo na Mpira.
 
Back
Top Bottom