GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Malipo ya Mnafiki huwa ni hapa hapa duniani. Yule yule ambaye amekuwa akimpiga Majungu Kocha Pierre Lechantre afukuzwe kisha Timu apewe Yeye Masoud Djuma Irambona sasa ' laana ' ya Mzungu inaanza kumpata huko AFRAHA Stadium Nakuru.
Si mlikuwa mnajifanya Kocha Mzungu Lechantre hana umuhimu na Timu haichezi vizuri na inashinda tu ushindi wa ' Kiduchu ' sasa tayari Vijana wa ' Kogelo ' wameshatuweka ' Kidude ' na kuna kila dalili kwamba leo tutachezea mengi tu.
Nami naomba tufungwe tu ili sasa tuone Masoud Djuma Irambona atafanyeje kwani ni Kocha ' Mnafiki ' sana na mpika ' Majungu ' ndani ya Kikosi japo wapuuzi wenzake ambao ni Mashabiki wa Simba SC baadhi yao hawana wanalolijua.
Leo wala sifichi nataka ' tufungwe ' na Gor Mahia ' Wana Kogelo ' ili tuheshimiane hapa mjini japo Mimi ni mwana Simba SC ' Kindakindaki ' ila kwa nilivyochukizwa na kufukuzwa kwa Kocha ' Fundi ' kabisa Mfaransa Pierre Lechantre wakati sijaona tatizo lake na angebaki angetusaidia mno Simba SC.
Tufungwe tu potelea mbali!!!!!!!!
Nawasilisha.