Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Yote uloyasema hapa niukweli tupu .Ahsante kwa kunielewa Mkuu kwani wanaomuelewa GENTAMYCINE kama Wewe huwa ni wachache sana halafu hata IQ zao nazo huwa ni za juu mno kama siyo sana. Sasa ili uone huyu Kocha wenu wa ' hovyo hovyo ' Masoud Djuma Irambona ni mbabaishaji na hana lolote leo ndani ya dakika 8 kafanya ' Substitution ' Nne halafu zote zilikuwa mbaya na zisizo na faida hadi mwishowe sasa akawa anajifanya kumtupia lawama Mwamuzi ambaye binafsi sijaona kama leo ametuuma Simba SC ila Simba SC tumefungwa hasa ' Kiufundi ' huku pia ' Nidhamu ' ya Wachezaji wetu karibia wote waliocheza leo ikiwa ni ya chini chini mno. Hakuna Kocha hapo tusidanganyane tafadhali!
Sub mbov, nidham ndogo, alafu akaanza kuzuga ...
Simba km mfaransa hatorudi, mwakan tunakua yanga.