Si mnaona Palestina na Israel hawaposti Pray for Kariakoo!

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
Jamani tuacheni shobo (Ushauri na si kwa ubaya).

Kama tunakutwa na janga, acha tupambane nalo, tuone wapi tumekosea na tujirekebishe. Haya mambo mengine ya kutaka watu wakuposti, wala hayasaidii.

Watu wamepata matatizo, acha wapray wao kwa wao, kama sisi tunavyoachwa tupray sisi kwa sisi.

Hakuna Mpalestina kutokea Gaza au Muisrael kutokea Jerusalem aliyepost habari ya kariakoo.

Kuna Mpalestina wa Bonyokwa na Mgalatia wa Mburahati basi wako kutwa kuchwa Pray for Palestina, Pray for Israel

 
Naona unataka kuwapiku watawala wako kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…