Wangenyooka au wangempeleka mahakmani kwa child abuse....siku hzi maadili hakuna kabisa na ukijaribu tu ku m discipline mwanafunzi utakomaje?
hahahaha haha shem Lady doctor wala sikuchukii ila napenda kukwambia ukweli hebu jiulize Arushaone yuko wapi sasa hivi? alaf futa kauli yako sijawai kukaguliwa na mtu humu zaidi ya akanana wangu Passion Lady
hahahaa my akanana Passion Lady mimi na shem Lady doctor ugomvi wetu ni pale ninapo mwambia ukweli na sipati picha angekutana a Mwl wangu alaf akamwambie avue shati aandike.
kidogo naona mnapatana na shemejio
sasa,hakuna malalamiko tena!!
hahahaa my akanana Passion Lady mimi na shem Lady doctor ugomvi wetu ni pale ninapo mwambia ukweli na sipati picha angekutana a Mwl wangu alaf akamwambie avue shati aandike.
hahahaha hapo hakuna ukweli wowote sikaguliki mimi ila mumeo kakaguliwa sana humu.
yaaah alikuwa wa kike
si unajua mwezi mtukufu huu pacha! Ngoja nisubiri uishe tuone
nilishamkaguaga ndiyo maana ananichukia pacha
hahahaa my akanana Passion Lady mimi na shem Lady doctor ugomvi wetu ni pale ninapo mwambia ukweli na sipati picha angekutana a Mwl wangu alaf akamwambie avue shati aandike.
Lady doctor hujampo my dear...Ich habe schon dich veremissmmmh.... Kaizer!!!!!