Si ni kasahau kubeba daftari la muandiko............aiseeeeeee eeeeeeeeeee

nililipenda hivyohivyo ndugu sasa ningeliacha mana kila shughuli tuifanyayo lazima mahesabu uyafanye ndipo uendelee mbele hata kwenye 6x6 ni mahesabu yanatumika ili kuthibiti ushindi sasa utafanye ndugu yangu maana kila kona ni mahesabu kwa kwenda mbele
hahahaha uliendelea kutolipenda au uliacha?
 
Loya umeamua kuwa mtunzi wa fasihi simulizi. Kesi zimeishia wapi au ndo taaluma imevamiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…