chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,522
- 2,651
The gas
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni ukakasi huo mkuuOooooh muoe tu mkuu muanzishe mji wenu
Nashukuru mkuuHuwa Inatokea siku zinapishana sababu ya chakula hata kazi kazi kwa ujumla au mawazo na stress hupelekea mzunguko kubadilika so usikurupuke kwanza na njia sahihi ni kupima Mimba tu hapo na ina uwezekano ikawa yako kama ulikutana nae tar hizo na siku zilibadilika kabisa na hamkutumia kinga basi maamuzi ya busara ni kujipanga kuitwa baba tu hakuna kingine other wise abortion ingawa si kitu chema
Ndo mana nmeleta kwenu wakuu mnisaidie kimawazoBe carefully
Asante mkuu,,Yawezekana ikawa yako au isiwe yako.
Umakini na busara hasa vitumike.
Balaa ,,mbona kama kaliwa kichwa ha ha ..mmmmmh!
Mbona waguna mkuu,,,mawazo yako muhimu sana kwenye huu Uzimmmmmh!
Shukran mkuuPossible coz, from 9/9 mpk 1/10 ni siku aprox to 20. Siku ambazo si safe ni 10-20 kutegemeana na mzunguko wake..Pia huwa kuna ambao mzunguko hautabiliki. Usipaniki jisndae kulea
Kua making bro mbona kama mahesabu hayasomHabari sana wana bodi,
Niende moja kwa moja kwenye point,nipo kwenye Mahusiano na bint mmoja kwa mwez sasa ila tupo mbali mbali kimkoa cha ajabu juz ananiambia haoni cku zake it means anaujauzito suala la ujauzito sio tatitzo tatitizo nnaona harufu ya kubambikiziwa Mana anasema aliingia hedhi tarehe 8/9 na alitakiwa azione tena 7/10 na Mimi nilkutana nae kimwili Mara ya mwisho tarehe 1/10 nikipiga mahesabu naona nataka kubambikiziwa wakuu mnaojua hata mambo ebu nisaidien ki ushauri mana nmemwambia sio yangu yeye analia anasema ni yangu.
Natanguliza shukran.
Ndo mana nmeweka hapa npate ushauri wa kimawazo mana wapo watu wa aina tofautiKua making bro mbona kama mahesabu hayasom