Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Yaa ukweli ila team kama BVB na man city wakipewa hata barcelona au madrid safari yao itaishia hapo
mkuu, hebu nikumbushe mwaka jana juve na barca walivyokutana UEFA ... Barcelona alishinda goli ngapi..nimesahau kidogoHata juve tu ingawa ni I'm juve fan,ila akikutana na Barce hana ujanja ata kidogo.
wazee wa mabakuliumeuona mchezo wa yanga ?
mkuu, hebu nikumbushe mwaka jana juve na barca walivyokutana UEFA ... Barcelona alishinda goli ngapi..nimesahau kidogo
mechi mbili barcelona goli zero...juve goli tatu... Basi juve wana bahati sana....Walibahatisha tu
Juventus ya msimu huu sio bora kama ya misimu iliyopita pamoja na kuongeza mchezaji bora. Sijui tatizo ni kocha anashindwa kuwatumia vizuri wachezaji wake, mfumo au kitu gani. Yaani wanafungika kiurahisi sana na safu yao ushambuliaji hawana umakini kwenye umaliziaji. Juventus hii ni juventus nyepesi kuliko misimu iliyopita
Napoli wanacheza mpira mzuri sana kama watajitahidi kurekebisha mapungufu madogo madogo wanaweza kufika mbali japokuwa hatima yao ya group stage bado haijatolewa hukumu.mtoa mada na wachangiaji muwe na akiba ya maneno msije shangaa uefa inaenda kwa timu zisizotegemewa kama Napoli au porto ndipo mtakapo baki vinywa wazi na kukili kuwa huu ni mpira wa miguu
Subiri ifike round za mtoano ndo utazijua timu za Spain ni timu za aina gani!!Soka linalopigwa na BvB, Manchester city na Juventus Turin kwa sasa pale ulaya ni bora na zuri. Zile zama za kina Barcelona na Real Madrid zimefika mwisho.
Kwa mtu aliyeangalia game za Juventus, Man city na BvB kwa siku za karibuni ataelewa nini namaanisha.
Poleni Barcelona, poleni Real Madrid, Poleni Bayern Munich.
Acha uongo wewe mshabiki wa barca[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]utakuta ukiachana na mechi za uefa mbili za juve dhidi ya man u,hajachek game lingne lolote la juv[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti mtu fulan lazima afunge.........anaongoza kwa assist juve pale.Tatizo ni huyo mchezaji bora uliemtaja. Ujio wake umepangua mfumo wa timu na kuwafanya wachezaji wao bora kushindwa kucheza kwenye kiwangu kizuri. Costa & Dybala wanapata tabu aisee na mfumo wakulizimishwa Mtu fulani lazima acheze na afunge.
Acha uongo wewe mshabiki wa barca[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]utakuta ukiachana na mechi za uefa mbili za juve dhidi ya man u,hajachek game lingne lolote la juv[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti mtu fulan lazima afunge.........anaongoza kwa assist juve pale.
Niliyasema hayaJuventus ya msimu huu sio bora kama ya misimu iliyopita pamoja na kuongeza mchezaji bora. Sijui tatizo ni kocha anashindwa kuwatumia vizuri wachezaji wake, mfumo au kitu gani. Yaani wanafungika kiurahisi sana na safu yao ushambuliaji hawana umakini kwenye umaliziaji. Juventus hii ni juventus nyepesi kuliko misimu iliyopita
Acha uongo wewe mshabiki wa barca[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]utakuta ukiachana na mechi za uefa mbili za juve dhidi ya man u,hajachek game lingne lolote la juv[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti mtu fulan lazima afunge.........anaongoza kwa assist juve pale.