Si Real Madrid, Barcelona na Bayern Munich tena. Sasa ni Juventus, Man City na BvB

Hata juve tu ingawa ni I'm juve fan,ila akikutana na Barce hana ujanja ata kidogo.
mkuu, hebu nikumbushe mwaka jana juve na barca walivyokutana UEFA ... Barcelona alishinda goli ngapi..nimesahau kidogo
 
Juventus ya msimu huu sio bora kama ya misimu iliyopita pamoja na kuongeza mchezaji bora. Sijui tatizo ni kocha anashindwa kuwatumia vizuri wachezaji wake, mfumo au kitu gani. Yaani wanafungika kiurahisi sana na safu yao ushambuliaji hawana umakini kwenye umaliziaji. Juventus hii ni juventus nyepesi kuliko misimu iliyopita

Tatizo ni huyo mchezaji bora uliemtaja. Ujio wake umepangua mfumo wa timu na kuwafanya wachezaji wao bora kushindwa kucheza kwenye kiwangu kizuri. Costa & Dybala wanapata tabu aisee na mfumo wakulizimishwa Mtu fulani lazima acheze na afunge.
 
mtoa mada na wachangiaji muwe na akiba ya maneno msije shangaa uefa inaenda kwa timu zisizotegemewa kama Napoli au porto ndipo mtakapo baki vinywa wazi na kukili kuwa huu ni mpira wa miguu
 
Napoli wanacheza mpira mzuri sana kama watajitahidi kurekebisha mapungufu madogo madogo wanaweza kufika mbali japokuwa hatima yao ya group stage bado haijatolewa hukumu.
 
Huu mchezo wa football na utabiri ni vitu viwili tofauti, ndio maana watu wanaliwa hela kwa kubet kila siku. Kitu ambacho ukifahamamu ni kwamba, la liga ya msimu huu kuna timu nyingi ziko vizuri ndio maana Barca na Real Madrid zina-struggle, lakini usiwashushe kihivyo. Huyo Juventus atambe huko huko na wakulima wa kiitaliano tu. Champions league ni serious issue.
 
Soka linalopigwa na BvB, Manchester city na Juventus Turin kwa sasa pale ulaya ni bora na zuri. Zile zama za kina Barcelona na Real Madrid zimefika mwisho.

Kwa mtu aliyeangalia game za Juventus, Man city na BvB kwa siku za karibuni ataelewa nini namaanisha.

Poleni Barcelona, poleni Real Madrid, Poleni Bayern Munich.
Subiri ifike round za mtoano ndo utazijua timu za Spain ni timu za aina gani!!
 
Man city yupi huyo anaepigwaga 5-0 kwenye quarter final au yupi,BVB wanasumbua bundesliga tu na ni kwa mda kidogo, maheavy weight wa ulaya barca,madrid, buyern,juve moto wao ni kuanzia knock out stage........
 
Tatizo ni huyo mchezaji bora uliemtaja. Ujio wake umepangua mfumo wa timu na kuwafanya wachezaji wao bora kushindwa kucheza kwenye kiwangu kizuri. Costa & Dybala wanapata tabu aisee na mfumo wakulizimishwa Mtu fulani lazima acheze na afunge.
Acha uongo wewe mshabiki wa barca[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]utakuta ukiachana na mechi za uefa mbili za juve dhidi ya man u,hajachek game lingne lolote la juv[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti mtu fulan lazima afunge.........anaongoza kwa assist juve pale.
 
Endelea kuleta ubishi, Lakini fact zinajieleza. Msimu uliopita Muda kama huu Dybala alikua ana zaidi ya goli 10 ndani ya ligi wakati msimu huu ana 2. Costa ndio ameishia bench kabisa.
 
Juventus ya msimu huu sio bora kama ya misimu iliyopita pamoja na kuongeza mchezaji bora. Sijui tatizo ni kocha anashindwa kuwatumia vizuri wachezaji wake, mfumo au kitu gani. Yaani wanafungika kiurahisi sana na safu yao ushambuliaji hawana umakini kwenye umaliziaji. Juventus hii ni juventus nyepesi kuliko misimu iliyopita
Niliyasema haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo wewe mshabiki wa barca[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]utakuta ukiachana na mechi za uefa mbili za juve dhidi ya man u,hajachek game lingne lolote la juv[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti mtu fulan lazima afunge.........anaongoza kwa assist juve pale.

Vipi mkuu naona jana hatujaona assist wala ...........
 
Back
Top Bottom