Si Real Madrid, Barcelona na Bayern Munich tena. Sasa ni Juventus, Man City na BvB

Si Real Madrid, Barcelona na Bayern Munich tena. Sasa ni Juventus, Man City na BvB

UEFA ni mali halali ya team za spain.

Hawa jamaa hata wawe hovyo vipi, kwenye UEFA hawana masikhara.

Nafikiri mnakumbuka vile Liverpool iliyokua form ilivyofanywa vibaya fainali iliyopita na Madrid iliyojichokea!

- KANA -
 
BvB wameondolewa na Spurs kwenye last 16. Walicheza mpira mwingi lakini walishindwa kabisa kufunga hata goal 1.

Kule kwenye ligi ya kwao almaarufu bundasliga washachoka japo matumaini yapo. Kuna jamaa m1 alisema, Dortmund n Liverpool r the bird of the same feather. Maana waliongoza kwa zaidi ya point 7. Kwa sasa BvB wapo sawa na Munich wakati City kamzidi Liverpool kwa alama 1.

Kweli maajabu yapo duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom