Si sahihi kufikiri eti komandoo akiwa mtaani ni kama raia wa kawaida

ishu hapa ni uelewa tu wa mambo.

reserved army haina maana mpaka kwa waliofukuzwa kwa utovu wa nidhamu au kuzeeka na kuumia.

polisi wanajua wanachokifanya kuliko mihemko ya watu wengi inavyowaagiza.
Elimu Division IV point 28-30
 
Tofautisha wallio stafu na walio fukuzwa,Hawa waliokuwa wanapanga ugaidi na mbowe ni waliofukuzwa jeshini sasa kuleta vi thread uchwara kama hivi mnajaza sever tu
 
ishu hapa ni uelewa tu wa mambo.

reserved army haina maana mpaka kwa waliofukuzwa kwa utovu wa nidhamu au kuzeeka na kuumia.

polisi wanajua wanachokifanya kuliko mihemko ya watu wengi inavyowaagiza.
Wengi wa wana saccos hawajielewi
 
Mbona wasiojulikana na boss wao wapo juu ya Sheria
 
Ukiacha jeshi unatakiwa ukalime matikiti maji sio kuajiriwa na viongozi wa upinzani.

Tanzania hawajajua tofauti kati ya vyama vya upinzani na waasi.

Lakini hata huyu Mbowe,ndiye kawaponza hawa jamaa kutokana na kauli zake za kibabe kama vile naye ana jeshi lake.

Ila kiufupi tu,wange dili na Mbowe na kuwaacha hawa jamaa kwani walienda kutafuta ajira tu.Wangewashauri wakaanzishe kilimo cha nyanya chungu tu
 
Yaani afande kimbaumbau alivyompika kabali kwa nyuma na ngumi yule commando wa kesi ya mbowe inadikitisha sana
 
Jinsi walivyokamatwa inatafakarisha sana yaani kuna mmoja alistukia kala kabali na kofi moja chini
 
ishu hapa ni uelewa tu wa mambo.

reserved army haina maana mpaka kwa waliofukuzwa kwa utovu wa nidhamu au kuzeeka na kuumia.

polisi wanajua wanachokifanya kuliko mihemko ya watu wengi inavyowaagiza.
Luteni Urio Dennis kwani naye kastaafu? Kwa nini ateswe na polisi wa kawaida? Vyovyote hii kesi,Maisha hayatakuwa kama zamani,tutaheshimiana tu
 
Baada ya hii kesi itachukua miaka kadhaa kutokea yaliyotokea Guinea 🇬🇳, hapa uongozi na mfumo wa polisi utafumuliwa tena wengine watatupwa kbsa kwa hasirA zilizotokota/zinazotokota sasa.
Kisha utaitishwa uchaguzi baada ya WALE waliochekelea makomandoo kuteswa ktk nykt hizi kuondoshwa uongozini,asema bwana.
 
Miye nawaA tu makomando watatu hata kama aaskari walikuwa na silaha za moto walishindwaje wamudu huo ukomando wao vipi nawaza naona huo ukomando wa kudesa siyo wavitendo
Jifanye wewe basi, kiazi kweli wewe
 
Ina mtisha nani wewe nyau?
 
Halafu kesi iko mahakamani, ni contempt of court (kosa la jinai) kuiongelea hata kama ni kwenye mitandao.
Mkuu verify akaunti yako, hili baadhi yetu tuwe nguvu ya kutumia maandiko yako kama reliable source of info( jokes).
====
Hii contempt imefanywa sana na timu ya 'watetezi'. Wamechafua madaraja na mawe ya barabara ya Morogoro Mbeya kwa kuandika maneno ya kuitisha mahakama. Hakuna wakili hata mmoja wa washitakiwa ambaye amekemea jambo hili.
 
Walisikika upande wa mashtaka, "wewe si komando kwani ulishaondoshwa jeshini."

Kama kupata Maelezo ya Adamoo, sheria ilikiukwa, Yatatupwa

Hiiiiii hiiiiii bagosha!
 
Nasikiaga eti askari wa ulinzi anabakia kuwa Askari hata akistaafu, hususani akiwa na ujuzi fulani ndio kabisa
 
ishu hapa ni uelewa tu wa mambo.

reserved army haina maana mpaka kwa waliofukuzwa kwa utovu wa nidhamu au kuzeeka na kuumia.

polisi wanajua wanachokifanya kuliko mihemko ya watu wengi inavyowaagiza.
Hivi walifukuzwa au Ni BATTLE CONFUSION iliwapumzisha wazalendo wetu?!
 
ishu hapa ni uelewa tu wa mambo.

reserved army haina maana mpaka kwa waliofukuzwa kwa utovu wa nidhamu au kuzeeka na kuumia.

polisi wanajua wanachokifanya kuliko mihemko ya watu wengi inavyowaagiza.
Polisi wanajua wanachokifanya? Watu wako kazini hawajui hata PGO watajua kingine wakifanyacho? Acha uongo!
Ni sawa na mchungaji hajui hata Biblia au Shehe hajui Msahafu. Atajuaje hayo mengine?
Kosa la polisi juu ya askari hao wastaafu na waliotumikia nchi tayari limesha leta ufa.
 
hapa tz kuamini kuwa hakuna aliye juu ya sheria ni sawa na kujilisha upepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…