Si sahihi kufikiri eti komandoo akiwa mtaani ni kama raia wa kawaida

Sasa na wao ilikuaje wakafukuzwa jeshini? Tuanzie hapo kwanza kabla hatujajiuliza ilikuaje akawa rafiki na mbowe
 
Ugaidi mbona unausema ww, Kingai na Mahita umewasikia wakiutaja,[emoji1745]
 
Jeshi la polisi chini ya gaidi kingai lipo imara, halitateteleka kamwe.
Nafikiria SSH alifumue jeshi aweke neutrals from Zbar tunataka IGP from Zbar awe mwenye hofu Mungu msaidizi awe Mwanamama yule kaganda....kama assignment za yule wa takukuru basi ampe IGP Kaganda awe msaidizi wake watende haki....kujikomba kwa kuonea watu sio sawa
 
Kwa taarifa yako kila askari akistaafu anabaki kuwa askari wa akiba pale itokeapo vita. Hata Mgambo na wale wa JKT ni askari wa akiba. Neno komando lisiwe kama ni taaluma adimu sanaaaaa. Ni specialty tu.
 
Acha hizo njozi za Uzanzibar na Uzanzibara.
 
ishu hapa ni uelewa tu wa mambo.

reserved army haina maana mpaka kwa waliofukuzwa kwa utovu wa nidhamu au kuzeeka na kuumia.

polisi wanajua wanachokifanya kuliko mihemko ya watu wengikwahiyo yale madudu ya Kutofuata PGO
 
ishu hapa ni uelewa tu wa mambo.

reserved army haina maana mpaka kwa waliofukuzwa kwa utovu wa nidhamu au kuzeeka na kuumia.

polisi wanajua wanachokifanya kuliko mihemko ya watu wengi inavyowaagiza.
toka lini polisi wa tz wakajua wakifanyacho?
 
Kwa taarifa yako kila askari akistaafu anabaki kuwa askari wa akiba pale itokeapo vita. Hata Mgambo na wale wa JKT ni askari wa akiba. Neno komando lisiwe kama ni taaluma adimu sanaaaaa. Ni specialty tu.
Hivi komando hawa sio kama akina Rambo Schwarzenegger basi waachwe wamlinde mbowe wao
 
Nishamkumbuka Mwamunyange asee
 
Inaumiza sana kwa mashujaa ambao wamelitumikia Taifa lao kwa uaminifu ,kubambikiwa kesi na kufanyiwa unyanyasaji wa aibu.nawapo ngeza sana kwa uvumilivu na utii walioonyesha na kuvumilia mateso.Najua pengne walikuwa na uwezo wa kujitetea lkn walitii sheria Jw huwa wanna nidhamu sana kwa nchi na kwa raia.KAMA NI KWELI
 
kwani wewe pgo unaijua??

ni sahihi kusema hujui wala huwezi kufanya mambo mengine kwa usahihi!!!!!
 
Hivi walifukuzwa au Ni BATTLE CONFUSION iliwapumzisha wazalendo wetu?!

battle comfusion ni maelezo yake yeye mtuhumiwa,ila ingekuwa hivyo jeshi lisingemwacha mpaka akaajiriwe na mbowe,jeshi lina utaratibu wake wa kutunza wanaopata majanga kazini.sio kuwatupa tu.

swali mi moja kama alikuwa na matatizo kama anavyosema,kwanini mbowe alihitaji kumwajiri mtu huyu mwenye tatizo kiasi fulani???

waliachishwa kazi,tena polisi hawafanyi kazi za aiana hii kama nguruwe,lazina walimtaarifu mwajiriwa wake wa zamani na kupewa green light.
 
Luteni Urio Dennis kwani naye kastaafu? Kwa nini ateswe na polisi wa kawaida? Vyovyote hii kesi,Maisha hayatakuwa kama zamani,tutaheshimiana tu

hapa badala ya wewe kuanza kuogopa usichokijua,ni vyema ujiulize kuna tatizo gani!!!

kifupi nchi inayo mengi yanaendelea,ambayo hayawezi kuamuliwa mahakamani au madhabahuni.
 
ishu hapa ni uelewa tu wa mambo.

reserved army haina maana mpaka kwa waliofukuzwa kwa utovu wa nidhamu au kuzeeka na kuumia.

polisi wanajua wanachokifanya kuliko mihemko ya watu wengi inavyowaagiza.
kwamba mwanajeshi akiwa mtovu wa nidhamu anakuwa siyo mwanajeshi?
 
ishu hapa ni uelewa tu wa mambo.

reserved army haina maana mpaka kwa waliofukuzwa kwa utovu wa nidhamu au kuzeeka na kuumia.

polisi wanajua wanachokifanya kuliko mihemko ya watu wengi inavyowaagiza.
Kama tu PGO hawaijui,watajua nini kingine zaidi?
Muache kutetea ujinga msije kuitwa wajinga.
 
Eti unataka kuchonganganisha jeshi na Polisi , sidhani wewe ulishawahi kupitia jeshi na ukajua nini jeshi linafanya .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…