Si sawa kuwapambanisha Harmonize na Ray Vanny

The seer

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
407
Reaction score
690
Baba ana watoto wawili mmoja bado yuko nyumbani(Ray vanny) anapata support ya familia kwa kila kitu na mwingine(HARMONIZE) ameamua kwenda kujitegemea kimaisha anajitegemea kwa kila kitu(jeshi).

Kuwafananisha hawa watoto sio sawa kwa vyovyote Yule anayejitegemea kimaisha ndio mwenye akili zaidi,ndio mkomavu na ndio aliyefanikiwa zaidi.
 
Kama issues kujitegemea basi Mario bora kuliko hao wote,sababu hata Harmonize bila WCB si kitu na hata brand aliyo kuwa nayo imejengwa na Wasafi.

Tena huyo baada ya kuambiwa hana kipaji na Bongo Star Search ,Diamond alimfundisha kwa miaka zaidi ya mitatu, akamvumilia,akamwamini na akaweka hela yake leo hii unamwona hivyo.

Sasa hawa akina Mario,Kayumba,Darrasa nk hawa wameanzia kwenye sifuri sijui utawaweka kwenye kundi gani?,Konde anatoka WCB tayari anajina na brand kubwa.

Ila msanii hapimwi hivyo ungekuja ungetuambia fulani ni bora sababu ana streams kadhaa kwenye (Sportfy,ITunes,Tidals,boomplay,audiomack),views kadhaa YouTube,nomination,awards alizonazo na number of shows.

Ila kama issues yako kujitegemea basi Harmo hajui changamoto za kuanzia sifuri,yaani huna hela,huna brand,huna connection ,huna wa kukusidia ila unakipaji ukigeuze kuwa hela na brand sio kazi ndogo.
 
Ila kama issues yako kujitegemea basi Harmo hajui changamoto za kuanzia 0 yaani huna hela,huna brand,huna connection ,huna wa kukusidia ila unakipaji ukigeuze kuwa hela na brand sio kazi ndogo.
Nadhani ashapata Mwongozo!
 
wasanii wakubwa wote unaowajua wewe marekani wapo chini ya record label, je nao wanatakiwa wajitegemee ili wadhihirishe ukubwa wao kisanaa?

unapowalinganisha watu kisanaa takwimu pekee ndo zitaamua aliebora na sio blah blah
 
Ukiwasjindanisha kila mtu ana category yake ni bingwa.

Ukizungumzia tunzo kubwa, muziki mzuri, number ya mauzo na kipato Rayvanny anamwacha mbali sana Hamo.

Ila ukizungumzia kelele za insta na mbwembwe za kienyeji Hamo anashinda parefu saaaaana.

Ndio maana Hamo ukiingia Instagram kelele zake ni nyingi anajitutumua ila uki log out ukifika mtaani Rayvanny mziki wake upo kila chocho.
 
Baba Ana watoto wawili mmoja bado yuko nyumbani(Ray vanny) anapata support ya familia kwa kila kitu na mwingine(HARMONIZER) ameamua kwenda kujitegemea kimaisha anajitegemea kwa kila kitu(jeshi). kuwafananisha hawa watoto sio sawa kwa vyovyote Yule anayejitegemea kimaisha ndio mwenye akili zaidi,ndio mkomavu na ndio aliyefanikiwa zaidi.
View attachment 1762998View attachment 1762999
Mbona hawajampambanisha na mboso au lava lava? Kwani wao hawana support ya familia? Jibu ni kwamba hata unapambanisha vinavyoendana. Hata huyo mtoto aliyetoka bado ana ubin wa familia unambeba beba kwa mbali.
 
Kama issues kujitegemea basi Mario bora kuliko hao wote,sababu hata Harmonize bila WCB si kitu na hata brand aliyo kuwa nayo imejengwa na Wasafi.

Tena huyo baada ya kuambiwa hana kipaji na Bongo Star Search ,Diamond alimfundisha kwa miaka zaidi ya mitatu, akamvumilia,akamwamini na akaweka hela yake leo hii unamwona hivyo.

Sasa hawa akina Mario,Kayumba,Darrasa nk hawa wameanzia kwenye sifuri sijui utawaweka kwenye kundi gani?,Konde anatoka WCB tayari anajina na brand kubwa.

Ila msanii hapimwi hivyo ungekuja ungetuambia fulani ni bora sababu ana streams kadhaa kwenye (Sportfy,ITunes,Tidals,boomplay,audiomack),views kadhaa YouTube,nomination,awards alizonazo na number of shows.

Ila kama issues yako kujitegemea basi Harmo hajui changamoto za kuanzia sifuri,yaani huna hela,huna brand,huna connection ,huna wa kukusidia ila unakipaji ukigeuze kuwa hela na brand sio kazi ndogo.

kasema Rayvanny akitoka WCB ndio anaweza kupambanishwa na harmonize

Diamond alisafishwa na akina Ruge akawa promoted ns clouds ...issue ya kun invest kwa mtu ni kawaida mbona?

Hapa unabisha nini?

Harmonize ana fan base kubwa kuliko Rayvanny, maana anajisimamia... na alipotoka WCB akiweza ku survive

Uswahili unawasumbua kwa sababu alimsaidia ndio iweje?
 
Ukiwasjindanisha kila mtu ana category yake ni bingwa.

Ukizungumzia tunzo kubwa, muziki mzuri, number ya mauzo na kipato Rayvanny anamwacha mbali sana Hamo.

Ila ukizungumzia kelele za insta na mbwembwe za kienyeji Hamo anashinda parefu saaaaana.

Ndio maana Hamo ukiingia Instagram kelele zake ni nyingi anajitutumua ila uki log out ukifika mtaani Rayvanny mziki wake upo kila chocho.

mmh

mshabiki wa Rayvanny, umejikaza
 
kasema Rayvanny akitoka WCB ndio anaweza kupambanishwa na harmonize

Diamond alisafishwa na akina Ruge akawa promoted ns clouds ...issue ya kun invest kwa mtu ni kawaida mbona?

Hapa unabisha nini?

Harmonize ana fan base kubwa kuliko Rayvanny, maana anajisimamia... na alipotoka WCB akiweza ku survive

Uswahili unawasumbua kwa sababu alimsaidia ndio iweje?
Umetumia kigezo gani kujua kwamba harmonize ana fanbase kubwa kuliko Rayvanny? Kwanini Rayvanny atoke WCB wakati hana sababu ya kufanya hivyo. Wabongo ushamba unawasumbua kwa kuchukulia mziki sawa na maisha yenu ya uchochoroni. wasanii wakubwa wa Marekani na Ulaya wote wapo chini ya recording labels na ni matajiri, swali kwako wao ni wapumbavu kuwa chini ya hizo labels?
 
toka akiwa hapo wcb,harmonize amekuwa ni mkali kwa rayvan.

kwahiyo kazi kwake atafika tu anakotaka.
mond kwa sasa ni kama ameshafika peek.hana kazi tena ila kumaitain ukubwa wake.
 
Kama issues kujitegemea basi Mario bora kuliko hao wote,sababu hata Harmonize bila WCB si kitu na hata brand aliyo kuwa nayo imejengwa na Wasafi.

Tena huyo baada ya kuambiwa hana kipaji na Bongo Star Search ,Diamond alimfundisha kwa miaka zaidi ya mitatu, akamvumilia,akamwamini na akaweka hela yake leo hii unamwona hivyo.

Sasa hawa akina Mario,Kayumba,Darrasa nk hawa wameanzia kwenye sifuri sijui utawaweka kwenye kundi gani?,Konde anatoka WCB tayari anajina na brand kubwa.

Ila msanii hapimwi hivyo ungekuja ungetuambia fulani ni bora sababu ana streams kadhaa kwenye (Sportfy,ITunes,Tidals,boomplay,audiomack),views kadhaa YouTube,nomination,awards alizonazo na number of shows.

Ila kama issues yako kujitegemea basi Harmo hajui changamoto za kuanzia sifuri,yaani huna hela,huna brand,huna connection ,huna wa kukusidia ila unakipaji ukigeuze kuwa hela na brand sio kazi ndogo.
Kuna msanii ambae hajaanzia kwa watu darasa ametolewa na clouds kupitia dozen marioo vile vile na dar kugumu so kama mtu anastahili mpe zake pongezi
 
Kama issues kujitegemea basi Mario bora kuliko hao wote,sababu hata Harmonize bila WCB si kitu na hata brand aliyo kuwa nayo imejengwa na Wasafi.

Tena huyo baada ya kuambiwa hana kipaji na Bongo Star Search ,Diamond alimfundisha kwa miaka zaidi ya mitatu, akamvumilia,akamwamini na akaweka hela yake leo hii unamwona hivyo.

Sasa hawa akina Mario,Kayumba,Darrasa nk hawa wameanzia kwenye sifuri sijui utawaweka kwenye kundi gani?,Konde anatoka WCB tayari anajina na brand kubwa.

Ila msanii hapimwi hivyo ungekuja ungetuambia fulani ni bora sababu ana streams kadhaa kwenye (Sportfy,ITunes,Tidals,boomplay,audiomack),views kadhaa YouTube,nomination,awards alizonazo na number of shows.

Ila kama issues yako kujitegemea basi Harmo hajui changamoto za kuanzia sifuri,yaani huna hela,huna brand,huna connection ,huna wa kukusidia ila unakipaji ukigeuze kuwa hela na brand sio kazi ndogo.
Hao wote uliowataja wanasimamiwa na watu au walianza
huyo marioo dar kugumu alishutiwa na adam juma bure kisha akawa anasimamiwa na abbah na hanscana. Na darasa hao hao walikuwa wanamsimamia mpka sasa hivi.
Hata kina kayumba nao wanasimamiwa wana management..
Sio rahisi ku survive Solo kama harmonize it's either ushuke kabisa au utusue..
 
Back
Top Bottom