Hum B
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,045
- 1,468
Wengi hawajui ili jamboKiba na Hamo wanashea mashabiki, yani haters wa WCB.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi hawajui ili jamboKiba na Hamo wanashea mashabiki, yani haters wa WCB.
Asimfananishe marioo na washamba wapenda kiki haoKama issues kujitegemea basi Mario bora kuliko hao wote,sababu hata Harmonize bila WCB si kitu na hata brand aliyo kuwa nayo imejengwa na Wasafi.
Tena huyo baada ya kuambiwa hana kipaji na Bongo Star Search ,Diamond alimfundisha kwa miaka zaidi ya mitatu, akamvumilia,akamwamini na akaweka hela yake leo hii unamwona hivyo.
Sasa hawa akina Mario,Kayumba,Darrasa nk hawa wameanzia kwenye sifuri sijui utawaweka kwenye kundi gani?,Konde anatoka WCB tayari anajina na brand kubwa.
Ila msanii hapimwi hivyo ungekuja ungetuambia fulani ni bora sababu ana streams kadhaa kwenye (Sportfy,ITunes,Tidals,boomplay,audiomack),views kadhaa YouTube,nomination,awards alizonazo na number of shows.
Ila kama issues yako kujitegemea basi Harmo hajui changamoto za kuanzia sifuri,yaani huna hela,huna brand,huna connection ,huna wa kukusidia ila unakipaji ukigeuze kuwa hela na brand sio kazi ndogo.
Numbers don't lie.Kweli hawatakiwi kufananishwa kwani number zina ongea.
View attachment 1773408
Kuna akina Jembe ni Jembe, wamewekeza sana na wanapambana kuhakikisha uwekezaji wao unazaa matunda,ana timu kubwa sana pamoja na support ya Majizzo na Clouds.Hao wote uliowataja wanasimamiwa na watu au walianza
huyo marioo dar kugumu alishutiwa na adam juma bure kisha akawa anasimamiwa na abbah na hanscana. Na darasa hao hao walikuwa wanamsimamia mpka sasa hivi.
Hata kina kayumba nao wanasimamiwa wana management..
Sio rahisi ku survive Solo kama harmonize it's either ushuke kabisa au utusue..
Duuh kweli wewe una chuki ya ajabu mzee daaah hadi huruma nakuonea mimi kwanini unajijaza chuki kubwa kiasi hikiKuna akina Jembe ni Jembe, wamewekeza sana na wanapambana kuhakikisha uwekezaji wao unazaa matunda,ana timu kubwa sana pamoja na support ya Majizzo na Clouds.
Huo uongo wa eti yuko peke yake labda kwa wasiojua support anakoipata.
Kumlazimisha mtu atoke kwenye record label wakati hana matatizo nao na hajarubuniwa akaingia mkenge(kama alivyofanya Jembe kwa panya ambaye sasa analia eti Mnyakyusa anamzidi mauzo kwenye digital platforms kwa sababu hataki kutoka WCB ni stupidity kwa kiwango cha lami). Ameamua kuhamia kwa Jembe basi apambana hivyo hivyo akizidiwa aongeze maarifa labda huko mbele ya safari atakuwa na 'real' fans na hatakuwa akipigiwa kelele na haters wa WCB pekee kwani hapo ndipo numbers za mauzo zitaongezeka labda hata kuja kumpiku Myakyusa.
Sina chuki na mtu yoyote,nimeandika facts tu kama kuna mtu hazijamfurahisha basi ataniwia radhi.Duuh kweli wewe una chuki ya ajabu mzee daaah hadi huruma nakuonea mimi kwanini unajijaza chuki kubwa kiasi hiki
Sio rahisi moyo na maneno vyote kufananaSina chuki na mtu yoyote,nimeandika facts tu kama kuna mtu hazijamfurahisha basi ataniwia radhi.
Painful truth ni kuvumilia tu, kuna watu ukweli usipowafurahisha huwa wanakasirika.
Facts mtu asipokubaliana nazo huwa anazijibu kwa facts na si vinginevyo. Huyo unayedhani nina chuki naye siku namba zake zikiwa juu nakuhakikishia nitakuwa katika watu wa kwanza kumsifia. Weka hii kumbukumbu.
Kama unatumia moyo katika uyanenayo lakini kama unatumia ubongo basi juu ya kwenye ubongo na maneno vitafanana tu.Sio rahisi moyo na maneno vyote kufanana
Rayvan atoke kwani wasafi ndo tuanze kuwashindanisha na konde boy, hizi nyingine ni porojo tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama issues kujitegemea basi Mario bora kuliko hao wote,sababu hata Harmonize bila WCB si kitu na hata brand aliyo kuwa nayo imejengwa na Wasafi.
Tena huyo baada ya kuambiwa hana kipaji na Bongo Star Search ,Diamond alimfundisha kwa miaka zaidi ya mitatu, akamvumilia,akamwamini na akaweka hela yake leo hii unamwona hivyo.
Sasa hawa akina Mario,Kayumba,Darrasa nk hawa wameanzia kwenye sifuri sijui utawaweka kwenye kundi gani?,Konde anatoka WCB tayari anajina na brand kubwa.
Ila msanii hapimwi hivyo ungekuja ungetuambia fulani ni bora sababu ana streams kadhaa kwenye (Sportfy,ITunes,Tidals,boomplay,audiomack),views kadhaa YouTube,nomination,awards alizonazo na number of shows.
Ila kama issues yako kujitegemea basi Harmo hajui changamoto za kuanzia sifuri,yaani huna hela,huna brand,huna connection ,huna wa kukusidia ila unakipaji ukigeuze kuwa hela na brand sio kazi ndogo.
Kwa hiyo wewe unamkubali,ila kwakuwa yupo WCB una mkataa au sio?Rayvan atoke kwani wasafi ndo tuanze kuwashindanisha na konde boy, hizi nyingine ni porojo tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha kweli mkuuHarmonizer ashindanishwe na Burma Boy, ukishuka sana labda Wizkid, alishawahi kusema hamna wa kushindanishwa naye bongo[emoji1787]