Si sawa kuwapambanisha Harmonize na Ray Vanny

Safi tuu...

Tubadili ladha.

Kibamia na Mondi walitrend sana.

Ila Vanny anaimba aisee... Eeiihh!!!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
No beefff......
 
Asimfananishe marioo na washamba wapenda kiki hao
 
Kuna akina Jembe ni Jembe, wamewekeza sana na wanapambana kuhakikisha uwekezaji wao unazaa matunda,ana timu kubwa sana pamoja na support ya Majizzo na Clouds.
Huo uongo wa eti yuko peke yake labda kwa wasiojua support anakoipata.
Kumlazimisha mtu atoke kwenye record label wakati hana matatizo nao na hajarubuniwa akaingia mkenge(kama alivyofanya Jembe kwa panya ambaye sasa analia eti Mnyakyusa anamzidi mauzo kwenye digital platforms kwa sababu hataki kutoka WCB ni stupidity kwa kiwango cha lami). Ameamua kuhamia kwa Jembe basi apambana hivyo hivyo akizidiwa aongeze maarifa labda huko mbele ya safari atakuwa na 'real' fans na hatakuwa akipigiwa kelele na haters wa WCB pekee kwani hapo ndipo numbers za mauzo zitaongezeka labda hata kuja kumpiku Myakyusa.
 
Duuh kweli wewe una chuki ya ajabu mzee daaah hadi huruma nakuonea mimi kwanini unajijaza chuki kubwa kiasi hiki
 
Duuh kweli wewe una chuki ya ajabu mzee daaah hadi huruma nakuonea mimi kwanini unajijaza chuki kubwa kiasi hiki
Sina chuki na mtu yoyote,nimeandika facts tu kama kuna mtu hazijamfurahisha basi ataniwia radhi.
Painful truth ni kuvumilia tu, kuna watu ukweli usipowafurahisha huwa wanakasirika.
Facts mtu asipokubaliana nazo huwa anazijibu kwa facts na si vinginevyo. Huyo unayedhani nina chuki naye siku namba zake zikiwa juu nakuhakikishia nitakuwa katika watu wa kwanza kumsifia. Weka hii kumbukumbu.
 
Sio rahisi moyo na maneno vyote kufanana
 
Sio rahisi moyo na maneno vyote kufanana
Kama unatumia moyo katika uyanenayo lakini kama unatumia ubongo basi juu ya kwenye ubongo na maneno vitafanana tu.
Ni utoto wa hali ya juu kutumia moyo/hisia katika mambo mepesi kama haya.
 
Rayvan atoke kwani wasafi ndo tuanze kuwashindanisha na konde boy, hizi nyingine ni porojo tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rayvan atoke kwani wasafi ndo tuanze kuwashindanisha na konde boy, hizi nyingine ni porojo tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo wewe unamkubali,ila kwakuwa yupo WCB una mkataa au sio?

Sasa unampangia,yy ndiye biashara yake anajua faida na hasara zake?

Hata mimi mwenyewe naomba Ibrah atoke Konde nione ukubwa wake au sio........!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…