Si tuliambiwa GSM ataishia kwenye mabango? Imekuwaje tena nembo yake iwe kwenye jezi za Simba?

Umeelewa ulichoandika ama umekurupuka tuu
 
Watu wasichokijua GSM ni Simba damu yule.
 
Mdhamini Mkuu ametoa bil2. 5 mdhamini mwenza ametoa bil2. 1 tofauti ni mil 400.halafu Kama hujui hizi bil. 2.1 zilipaswa zote ziwe za utawala(Tff)ila wamewaonea huruma tu.
Mdhamini mkuu katoa bil 2.5 kwa mwaka GSM ametoa bil 2.1 kwa mwaka mmoja wa mashindano sawa na 65 million kwa Kila timu kwa mwaka mmoja wa mashindano alafu unataka GSM akae kwenye jezi!????
Shabiki wa mchongo
 
Mdhamini mkuu katoa bil 2.5 kwa mwaka GSM ametoa bil 2.1 kwa mwaka mmoja wa mashindano sawa na 65 million kwa Kila timu kwa mwaka mmoja wa mashindano alafu unataka GSM akae kwenye jezi!????
Shabiki wa mchongo
Iyo pesa ya GSM ni miaka miwili ndugu
 
Utumie akili wewe..! Yule Senzo na Msukule walikuwa wanafanya nini mkutano wa kusaini mkataba...Wao ni akina nani kwenye mkataba wa TFF na GSM?
Msikule Ni Nani? Senzo aliwakilisha Young African, km viongozi wako walisusa hiyo Ni shauri yao, wasubiri Moo akidhamini ligi
 
Nani kakwambia hapa Yanga imehusishwa? Mbona wewe ndiyo unaonekana kuongozwa na mihemuko,umeona tu Simba wamepinga,ukaja na sababu zako kichwani kuwa Sababu GSM ni Yanga,tuonyeshe sehemu CEO wa Simba kaihusisha Yanga katika sababu alizozitoa
Wewe Ni kipofu her au kiziwi mwenzetuuu?
 
Ningekuwa mimi ninge opt kushushwa daraja kuliko kuvaa hiyo logo. Tuone watafanyaje. Hii ligi bila Simba au Yanga ni ndondo cup
Ikiwa bila Yanga sc hapo wenge lakini bila Makolo mbona fresh tu
 
Mfano Mo Dewji awe mdhamini mwenza wa Ligi kuu,halafu Yanga aambiwe aweke Logo ya Mo kwenye jezi!Ungekuwa na maoni hayo???
Yes, aweke mzigo tu Yanga tunavaa logo ya Mo mradi miiko yetu izingatiwe fulstop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…