SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
TFF wameshakula hela ya mkwepa kodi mwandamizi lazima waitapike.- Klabu ya Simba imekataa kuvaa logo ya mdhamini mwenza wa ligi kuu (GSM)
- CEO wa klabu hiyo Barbara Gonzalez amesema wameandika barua bodi ya ligi kuomba ufafanuzi baada ya kuambiwa kuanzia mchezo ujao wanapaswa kuvaa logo ya mdhamini mwenza wa ligi kuu (GSM)
- Kwa mujibu wa kanuni za ligi kuu Tanzania bara [emoji1241], ukikataa kuvaa logo ya mdhamini unapigwa faini ya Tsh milioni 3 kwa mechi.
- Ukiendelea kukaidi, unashushwa daraja.
- Mkataba waliosaini GSM na TFF masharti yaliyopo kutoka GSM ni kuwa, logo yao inapaswa kukaa upande wa kushoto wa jezi.
- Tayari Simba SC walishapewa logo hizo na mamlaka za soka nchini wazitumie kuanzia mchezo unaofuata wa derby ya Kariakoo.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app