Si tuliambiwa GSM ataishia kwenye mabango? Imekuwaje tena nembo yake iwe kwenye jezi za Simba?

Mfano Mo Dewji awe mdhamini mwenza wa Ligi kuu,halafu Yanga aambiwe aweke Logo ya Mo kwenye jezi!Ungekuwa na maoni hayo???
Ingekuwa logo ya Simba kuweka kwenye jezi ya Yanga ama logo ya Yanga kuweka kwenye jezi ya Simba ambao ndio wangekataa lakini si logo ya biashara.
 
Ingekuwa logo ya Simba kuweka kwenye jezi ya Yanga ama logo ya Yanga kuweka kwenye jezi ya Simba ambao ndio wangekataa lakini si logo ya biashara.
Unaona ni sawa mbet na Sportpesa kukaa kwenye jezi Moja?
 
Kuna wadhamini hua wanaishia kwenye jezi za mazoezi. Yaani kifuani uvae nembo ya mdhamini wa klabu, kulia nembo ya mdhamini wa ligi, kushoto mdhamini mwenza. Mdhamini mwenza kukaa kushoto ndiyo nini sasa?

Hii ndiyo naisikia bongo.

Uendeshaji wa mpira wa kibongo unasababisha wengi tuone ugumu kuufuatilia, wadhamini wenza hua wanaishia kwenye jezi za mazoezi. Mdhamini mkuu anakaa kulia.
 
Siyo kila kitu lazima tuige, tunahitaji tuwe wabunifu kama ambavyo TFF wamefanya na wengine wataiga.
 
Siyo kila kitu lazima tuige, tunahitaji tuwe wabunifu kama ambavyo TFF wamefanya na wengine wataiga.
Sasa akitokea mdhamini wa klabu mwingine utamuweka wapi?

Mfano Arsenal mdhamini mkuu wa klabu ni Fly Emirates yupo kifuani, kushoto ipo Visit Rwanda ya mdhamini mdogo.

So hapa kwenye ligi kuu timu ikipata mdhamini mdogo wa klabu ukiacha aliyepo kifuani nembo itawekwa wapi?

Hii komedi hakuna ligi serious itakuja kuiga.
 
Mdhamini mkuu katoa bil 2.5 kwa mwaka GSM ametoa bil 2.1 kwa mwaka mmoja wa mashindano sawa na 65 million kwa Kila timu kwa mwaka mmoja wa mashindano alafu unataka GSM akae kwenye jezi!????
Shabiki wa mchongo
Wewe ndo wa mchongo kwa sababu mkataba wa GSM ni miaka miwili sawa na NBC na tofauti ya pesa ni ndogo
 
Simba haihitaji hizo pesa za mbuzi,si tumeshaingiza 600M+ kwa CAFCC? Huyo GSM kiherehere chake,apeleke pesa zote utopoloni na siyo kutuletea drama zisizokuwa na kichwa wala miguu
. kweli basi kashirikini huko huku CAF na ole wenu Jumamosi msilete timu uwanjani. Leteni timu tuwanyie bila maji
 
Azam yuko kwenye TV GSM anadhamini ligi. Azam anapata faida ya moja kwa moja, wakati NBC na GSM wanapata faida indirect. Hiyo ndiyo falsafa ya kite. Huwezi kudhamini ligi kwa pesa sawa na ya wa TV.
 
Itakuwa kama jezi za Sudan Kusini!
 
Hayo Sasa Ni masuala ya kimkataba Baina ya hao GSM na waendeshaji wa ligi husika. Ninachopinga Ni kusema GSM Ni Yanga sc
Gsm ndio inayoiendesha yanga hata usajili huwa wachezaji wanasaini katika ofisi za gsm na huyo hersi ndio alikuwa ndio kiongozi wa gsm aliyewakilisha kwenye hyo mkataba wakati huo huo ndio msajili wa timu mpk huwa Mnabeba na kiti
 
League Imejaa Ujanjaujanja Na Giriba Tele Halafu Baadaye Unadhani Tutapiga Hatua Hapo
 
Gsm ndio inayoiendesha yanga hata usajili huwa wachezaji wanasaini katika ofisi za gsm na huyo hersi ndio alikuwa ndio kiongozi wa gsm aliyewakilisha kwenye hyo mkataba wakati huo huo ndio msajili wa timu mpk huwa Mnabeba na kiti
Bado haiondoi ukweli kuwa GSM ni kaampuni binafsi na yanga ni taasisi inayomilikiwa na wanachama
 
Azam yuko kwenye TV GSM anadhamini ligi. Azam anapata faida ya moja kwa moja, wakati NBC na GSM wanapata faida indirect. Hiyo ndiyo falsafa ya kite. Huwezi kudhamini ligi kwa pesa sawa na ya wa TV.
gsm kipind anasain mkataba na tff ni muda huo wote wanajua kwamba ligi ina mdhamin mkuu na sheria zao sio za simba wala yanga ndio Ndio zinataka mdhamin mkuu akae bega la kulia ktk jez za timu ,sasa tff hawajui ilo au gsm hajui ilo ,ndio maana tunasema kivyovyote vile aya ni makubaliano ya tff na gsm je vilabu vyote walikubali au iyo sheria imebadilishwa , mdhamin mwenza ata mwaka jana alikuwepo na hakua ktk jez ndio tunarud kule kule kwamba kila mdhamin ana majukumu yake na utekelezaji wake azam ana haki yake ,nbc ana haki yake na hao gsm pia wana haki yao , sasa haki ya gsm kukaa ktk jez za timu sheria iyo imetoka ikiwa nj mdhamin mwenza , je tutabak na wadhamin hawa hawa tu watatu akitokea mwingne tumkatae kwa sababu atakua hana pa kukaa na maana ya mdhamin mwenza ni nin ,ikiwa anapata haki sawa na mdhamin mkuu
 
Mnapoambiwa muweke CEO mwenye akili mnaweka mahawara matokeo ndio haya..

Hii nembo mtavaa kila mechi msipovaa faini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…