Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
KivipHili la udhamini wa GSM sio tu litavuruga ligi lakini pia linatachafua amani ya nchi na kupelekea kumwagika kwa damu.
[emoji1607]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KivipHili la udhamini wa GSM sio tu litavuruga ligi lakini pia linatachafua amani ya nchi na kupelekea kumwagika kwa damu.
[emoji1607]
Ingekuwa logo ya Simba kuweka kwenye jezi ya Yanga ama logo ya Yanga kuweka kwenye jezi ya Simba ambao ndio wangekataa lakini si logo ya biashara.Mfano Mo Dewji awe mdhamini mwenza wa Ligi kuu,halafu Yanga aambiwe aweke Logo ya Mo kwenye jezi!Ungekuwa na maoni hayo???
Unaona ni sawa mbet na Sportpesa kukaa kwenye jezi Moja?Ingekuwa logo ya Simba kuweka kwenye jezi ya Yanga ama logo ya Yanga kuweka kwenye jezi ya Simba ambao ndio wangekataa lakini si logo ya biashara.
Umeandika nini, ebu rudia kusoma ulichokiandika.Unaona ni sawa mbet na Sportpesa kukaa kwenye jezi Moja?
Siyo kila kitu lazima tuige, tunahitaji tuwe wabunifu kama ambavyo TFF wamefanya na wengine wataiga.Kuna wadhamini hua wanaishia kwenye jezi za mazoezi. Yaani kifuani uvae nembo ya mdhamini wa klabu, kulia nembo ya mdhamini wa ligi, kushoto mdhamini mwenza. Mdhamini mwenza kukaa kushoto ndiyo nini sasa?
Hii ndiyo naisikia bongo.
Uendeshaji wa mpira wa kibongo unasababisha wengi tuone ugumu kuufuatilia, wadhamini wenza hua wanaishia kwenye jezi za mazoezi. Mdhamini mkuu anakaa kulia.
Sasa akitokea mdhamini wa klabu mwingine utamuweka wapi?Siyo kila kitu lazima tuige, tunahitaji tuwe wabunifu kama ambavyo TFF wamefanya na wengine wataiga.
Samahani mkuu tunacharulana tu,nisamehe nduguSidhani hata siku nilishawahi kukukosea heshima
Futa hii, wala sijapenda
Wewe ndo wa mchongo kwa sababu mkataba wa GSM ni miaka miwili sawa na NBC na tofauti ya pesa ni ndogoMdhamini mkuu katoa bil 2.5 kwa mwaka GSM ametoa bil 2.1 kwa mwaka mmoja wa mashindano sawa na 65 million kwa Kila timu kwa mwaka mmoja wa mashindano alafu unataka GSM akae kwenye jezi!????
Shabiki wa mchongo
. kweli basi kashirikini huko huku CAF na ole wenu Jumamosi msilete timu uwanjani. Leteni timu tuwanyie bila majiSimba haihitaji hizo pesa za mbuzi,si tumeshaingiza 600M+ kwa CAFCC? Huyo GSM kiherehere chake,apeleke pesa zote utopoloni na siyo kutuletea drama zisizokuwa na kichwa wala miguu
Azam yuko kwenye TV GSM anadhamini ligi. Azam anapata faida ya moja kwa moja, wakati NBC na GSM wanapata faida indirect. Hiyo ndiyo falsafa ya kite. Huwezi kudhamini ligi kwa pesa sawa na ya wa TV.kuna mdhamin wa ligi ya tanzania anaetoa pesa nying zaid ya azam?mbona ligi haikuitwa azam na wala vilabu havikulazimishwa kuvaa nembo ya azam kama kigezo pesa watz ndio maana maisha yetu kila siku kubuluzwa na viongoz au wanasiasa kila anaepata nafas bas anajitoa ufaham kwa maslai yake hivi suhala kama ili linahitaji elimu gan kujua kama tff wanataka kuwapga baadhi ya vilabu ipo wazi mdhamin mkuu atakaa apa na wengine watakaa apa kikawaida kama sheria au kanuni inabadilishwa si sahihi uibadili wakat wa matumiz ibadilike alaf ndio utumike sasa kama tff au bodi ya ligi waliona kwamba mdhamin mkuu akae upande huu na wenza wakae sehem nyingne lin waliongea na vilabu wakakubaliana jezi ni mali ya timu mdhamin wa ligi ni mali ya tff huwez kuamka tu ukashurutisha watu ktu ikiwa kisheria anaetakiwa akae ktk jez yupo ,hao wadhamin wa ligi wakiwa mia na wote wakataka wakae ivyo ivyo ktk jez itakua jez au gazet
Itakuwa kama jezi za Sudan Kusini!Sasa akitokea mdhamini wa klabu mwingine utamuweka wapi?
Mfano Arsenal mdhamini mkuu wa klabu ni Fly Emirates yupo kifuani, kushoto ipo Visit Rwanda ya mdhamini mdogo.
So hapa kwenye ligi kuu timu ikipata mdhamini mdogo wa klabu ukiacha aliyepo kifuani nembo itawekwa wapi?
Hii komedi hakuna ligi serious itakuja kuiga.
Kuna Mo Simba co.ltd alf Mo interprisesMfano Mo Dewji awe mdhamini mwenza wa Ligi kuu,halafu Yanga aambiwe aweke Logo ya Mo kwenye jezi!Ungekuwa na maoni hayo???
Gsm ndio inayoiendesha yanga hata usajili huwa wachezaji wanasaini katika ofisi za gsm na huyo hersi ndio alikuwa ndio kiongozi wa gsm aliyewakilisha kwenye hyo mkataba wakati huo huo ndio msajili wa timu mpk huwa Mnabeba na kitiHayo Sasa Ni masuala ya kimkataba Baina ya hao GSM na waendeshaji wa ligi husika. Ninachopinga Ni kusema GSM Ni Yanga sc
HaaUfala gani tena huo wajameni?
Bado haiondoi ukweli kuwa GSM ni kaampuni binafsi na yanga ni taasisi inayomilikiwa na wanachamaGsm ndio inayoiendesha yanga hata usajili huwa wachezaji wanasaini katika ofisi za gsm na huyo hersi ndio alikuwa ndio kiongozi wa gsm aliyewakilisha kwenye hyo mkataba wakati huo huo ndio msajili wa timu mpk huwa Mnabeba na kiti
gsm kipind anasain mkataba na tff ni muda huo wote wanajua kwamba ligi ina mdhamin mkuu na sheria zao sio za simba wala yanga ndio Ndio zinataka mdhamin mkuu akae bega la kulia ktk jez za timu ,sasa tff hawajui ilo au gsm hajui ilo ,ndio maana tunasema kivyovyote vile aya ni makubaliano ya tff na gsm je vilabu vyote walikubali au iyo sheria imebadilishwa , mdhamin mwenza ata mwaka jana alikuwepo na hakua ktk jez ndio tunarud kule kule kwamba kila mdhamin ana majukumu yake na utekelezaji wake azam ana haki yake ,nbc ana haki yake na hao gsm pia wana haki yao , sasa haki ya gsm kukaa ktk jez za timu sheria iyo imetoka ikiwa nj mdhamin mwenza , je tutabak na wadhamin hawa hawa tu watatu akitokea mwingne tumkatae kwa sababu atakua hana pa kukaa na maana ya mdhamin mwenza ni nin ,ikiwa anapata haki sawa na mdhamin mkuuAzam yuko kwenye TV GSM anadhamini ligi. Azam anapata faida ya moja kwa moja, wakati NBC na GSM wanapata faida indirect. Hiyo ndiyo falsafa ya kite. Huwezi kudhamini ligi kwa pesa sawa na ya wa TV.