Si tulisema hatufungwi na Uwanja wa Chamazi ni wetu Kinyota je, leo imekuwaje?

Si tulisema hatufungwi na Uwanja wa Chamazi ni wetu Kinyota je, leo imekuwaje?

Hongereni wana simba hilo ndio kombe lenu 2024/2025
 
Itumieni vema furaha ya leo, huenda msimu ukaisha bila kuipata tena.
Na nyie msijiamini kupita kiasi. Kufungwa leo, iwe funzo kwenu. Pia mjifunze kuweka akiba ya maneno. Mpira unadunda, lolote linaweza kutokea, kama ilivyotokea leo mmefungwa, inaweza ikatokea tena mkafungwa tena, mkafungwa tena....
 
Kikosi chetu hutupa jeuri ya kutamba bt kupoteza game ni jambo la kawaida.
 
Azam sio mdhaminiwa wa jiesiem hawezi kuachia point zake ka zombiii lao
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
JamiiForums1222824732.jpeg
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)View attachment 3142192
Hakika bikra imeng'olewa
 
Back
Top Bottom