Si tuna hela, sasa mbona huu ni mwezi Aziz Ki anatutoa jasho kumbakiza Yanga?

Si tuna hela, sasa mbona huu ni mwezi Aziz Ki anatutoa jasho kumbakiza Yanga?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1718800575649.png

Endeleeni tu kuyatumia Mafanikio yenu ya Tigo Pesa mliyoyapata ili kuficha Umasikini mkubwa na njaa iliyoko Kwenu.
 
Attachments

  • ki.jpg
    ki.jpg
    12.8 KB · Views: 2
Naweza kusema kwa vipindi vya hivi karibuni ambapo Simba alichukua ubingwa wa Tanzania Bara walikuwa hawashindi kwa njia halali bali kwa rushwa kwa kuwaonga baafhi ya viongozi, wachezaji na makocha wa tmu pinzani na pia wasimamizi wa mechi.

Haiwezekani timu kama ni bora ikachukua ubingwa kwa njia halali alafu ikauza wachezaji wawili ambao ni Chama na Luis wakashindwa kufanya vizuri kwenye timu zilizo wanunua hii moja kwa moja inaleta timu haikushinda kwa njia halali.

Nakumbuka wakati huo kulikuwa na malalamiko mengi kuhusu Simba ila waandishi wetu wa habari walikuwa kimya kuongelea ili inawezakana labda kwa mapenzi yao na Simba ama walipewa kitu kidogo!

WENYE AKILI NDOGO WATAPINGA MAWAZO YANGU!
 
Naweza kusema kwa vipindi vya hivi karibuni ambapo Simba alichukua ubingwa wa Tanzania Bara walikuwa hawashindi kwa njia halali bali kwa rushwa kwa kuwaonga baafhi ya viongozi, wachezaji na makocha wa tmu pinzani na pia wasimamizi wa mechi.

Haiwezekani timu kama ni bora ikachukua ubingwa kwa njia halali alafu ikauza wachezaji wawili ambao ni Chama na Luis wakashindwa kufanya vizuri kwenye timu zikizowasajili hii moja kwa moja inaleta timu haikushinda kwa njia halali.

Nakumbuka wakati huo kulikuwa na malalamiko mengi kuhusu Simba ila waandishi wetu wa habari walikuwa kimya kuongelea ili inawezakana labda kwa mapenzi yao na Simba ama walipewa kitu kidogo!

WENYE AKILI NDOGO WATAPINGA MAWAZO YANGU!
Dah, huko Wote Mazuzu isipokuwa JK na Sande Manara!

Hoja Azik Ki, Pesa mlizonazo zIko wapi?
Mbona kumbakiza imekuwa mtihani?
 
Back
Top Bottom