Naweza kusema kwa vipindi vya hivi karibuni ambapo Simba alichukua ubingwa wa Tanzania Bara walikuwa hawashindi kwa njia halali bali kwa rushwa kwa kuwaonga baafhi ya viongozi, wachezaji na makocha wa tmu pinzani na pia wasimamizi wa mechi.
Haiwezekani timu kama ni bora ikachukua ubingwa kwa njia halali alafu ikauza wachezaji wawili ambao ni Chama na Luis wakashindwa kufanya vizuri kwenye timu zikizowasajili hii moja kwa moja inaleta timu haikushinda kwa njia halali.
Nakumbuka wakati huo kulikuwa na malalamiko mengi kuhusu Simba ila waandishi wetu wa habari walikuwa kimya kuongelea ili inawezakana labda kwa mapenzi yao na Simba ama walipewa kitu kidogo!
WENYE AKILI NDOGO WATAPINGA MAWAZO YANGU!