warthog gun
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 1,466
- 1,260
Kuhusu inshu hiyo Kuna rafiki yangu kwa sasa yupo Hapa boda alinipasha kuwa mke alitaka kumuua mume.
Ilikuwa hivi binti wa kazi aliandaa chai kama kawaida akaiweka mezani, sasa mama akaenda pale mezani akafanya yake kwa bahati nzuri binti wa kazi akawa ameona lile tukio bila ya mama kujua ameonwa basi mama alipotoka binti akajiuliza kwanini mama ameenda pale na amekoroga koroga wakati si kawaida yake hata siku moja?
Basi eti kabla hajagongea mezani binti akaenda kumtonya mzee basi mzee akaita daktari wake kupima tu ikaonyesha chai ina sumu.
That's all.
Umejuaje kuwa hilo ni tatizo kwangu mkuu ! Get out of the box ,kama hauna info kaa kimya mkuu ! Sijaleta uzi huu kwa misingi ya kubeza,kuna mazuri mengi tunaweza kujifunza kwa wenzetu wanaotangulia mbele ya haki.Wewe ukiwa kama marehemu mtarajiwa jipange kuacha jambo fulani kwa wengine kujifunza
Ungemuuliza Mengi akiwa hai.
Sasa kashalala, kaa kimya
Kwani juzi hukupita kwa Mange Kimambi?
Ungepita kwa dada wa taifa kusingekua na haja ya kupita na hukuKwani nikipita huku kuna ubaya gani
Za weekend wadau !
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu
Lengo kubwa ni kupeana taarifa tu! Tukiwa kwenye majonzi ya kuondokewa na mzee wetu Mengi nilidhani si vibaya kujifunza baadhi ya maamuzi mazito aliyokwisha yafanya katika maisha yake kama kumwacha mke wake wa kwanza ambaye pia ni marehemu aliyemuoa 1971.
Huenda kuna watu wanajua chanzo cha wao kuachana na pengine sisi vijana tunaotaraji kuoa tukawa na jambo la kujifunza kutoka kwao kwa nia njema kabisa.
Karibuni wakuu!!
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Mambo ya ndoa za watu unayatakia nini?
Hili ni jambo la binafsi sana na ukweli wote ule wa ndani hautakaa ujulikane popote... Hawa ni watu wa zamani wana mipaka na faragha zao... Tofauti na hawa watoto wa siku hizi wanaosimulia kila kituZa weekend wadau !
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu
Lengo kubwa ni kupeana taarifa tu! Tukiwa kwenye majonzi ya kuondokewa na mzee wetu Mengi nilidhani si vibaya kujifunza baadhi ya maamuzi mazito aliyokwisha yafanya katika maisha yake kama kumwacha mke wake wa kwanza ambaye pia ni marehemu aliyemuoa 1971.
Huenda kuna watu wanajua chanzo cha wao kuachana na pengine sisi vijana tunaotaraji kuoa tukawa na jambo la kujifunza kutoka kwao kwa nia njema kabisa.
Karibuni wakuu!!
NimekusomaHili ni jambo la binafsi sana na ukweli wote ule wa ndani hautakaa ujulikane popote... Hawa ni watu wa zamani wana mipaka na faragha zao... Tofauti na hawa watoto wa siku hizi wanaosimulia kila kitu