warthog gun
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 1,466
- 1,260
Kuhusu inshu hiyo Kuna rafiki yangu kwa sasa yupo Hapa boda alinipasha kuwa mke alitaka kumuua mume.
Ilikuwa hivi binti wa kazi aliandaa chai kama kawaida akaiweka mezani, sasa mama akaenda pale mezani akafanya yake kwa bahati nzuri binti wa kazi akawa ameona lile tukio bila ya mama kujua ameonwa basi mama alipotoka binti akajiuliza kwanini mama ameenda pale na amekoroga koroga wakati si kawaida yake hata siku moja?
Basi eti kabla mzee hajajongea mezani binti akaenda kumtonya mzee basi mzee akaita daktari wake kupima tu ikaonyesha chai ina sumu.
That's all.