Si vyema kuviita "vyama vya upinzani" au "chama tawala"

Mr Lukwaro

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2023
Posts
360
Reaction score
630
Ni wazi kuwa jina "Chama Tawala" dhidi ya "Vyama vya Upinzani" , Haileti usawa katika siasa za Tanzania.

Sababu ya Hoja hii ni kwamba; Majina haya huashiria maana zilizo jificha.

Kwa mfano, Endapo mtu akasikia chama fulani ni "chama cha Upinzani" Hufanya chama hicho kupoteza  Ushawishi katika Macho ya wengi kwani ni hulka ya mwanadamu kuchukia "upinzani"

Sambamba na hili Kuitwa chama tawala huashiria ni wenye Mamlaka na-  Dola.

Hii haileti usawa katika majukwaa ya siasa hasa katika muktadha wa Siasa za hapa kwetu Tazania.

Ni vyema wanasiasa na watanzania kwa ujumla kubadili tamaduni hii , Na kuviita vyama majina kulingana na  Msimamo na  Dira zake.

Eidha Vyama vya Mlengo wa Kulia au Vyama vya mlengo wa Kushoto.

Mfano Chama Cha Mapinduzi (CCM): Kina mwelekeo wa kihafidhina katika masuala ya kijamii (maadili ya jadi, familia, dini), na kinaunga mkono uzalendo, usalama wa taifa, na uongozi wa juu wenye mamlaka makubwa. Kiuchumi, kimetoka kwenye ujamaa kwenda kwenye uchumi wa soko huria – hivyo kipo katikati lakini chenye tabia za mlengo wa kulia.

Aidha: CHADEMA ni chama cha mlengo wa kushoto wa kati (center-left), kinachounga mkono demokrasia, haki za kijamii, na usawa wa kiuchumi bila kuwa cha kisoshalisti au cha mapinduzi.

KWA UPANDE WA:ACT-WAZALENDO ni chama cha Mwelekeo: Kushoto (progressive left) kwani kinafuata misingi ya usoshalisti wa kisasa, kwa kusisitiza Umiliki wa pamoja wa rasilimali za taifa, Haki za kijamii na kiuchumi, Maendeleo shirikishi, Uwajibikaji wa viongozi kwa wananchi. Chama hiki kimekuwa na msimamo mkali dhidi ya ukosefu wa usawa, ufisadi, na utawala wa mabavu.

Kumbuka: ACT-Wazalendo kimeendeleza baadhi ya misingi ya Mapinduzi ya Zanzibar na TANU ya zamani, kikisisitiza maadili ya Ujamaa (kwa mtazamo wa kisasa).

Maoni yangu
 
Let’s assume, for the sake of it, that you’re right. Sasa ni kitu kinaifanya CCM itumie nguvu nyingi sana kubaki madarakani ilhali jina “chama tawala” tayari linakipa edge katika ushindani wa kisiasa?
 
Ni wazi kuwa jina "Chama Tawala" dhidi ya "Vyama vya Upinzani" , Haileti usawa katika siasa za Tanzania.

Sababu ya Hoja hii ni kwamba; Majina haya huashiria maana zilizo jificha.

Kwa mfano, Endapo mtu akasikia chama fulani ni "chama cha Upinzani" Hufanya chama hicho kupoteza  Ushawishi katika Macho ya wengi kwani ni hulka ya mwanadamu kuchukia "upinzani"

Sambamba na hili Kuitwa chama tawala huashiria ni wenye Mamlaka na-  Dola.

Hii haileti usawa katika majukwaa ya siasa hasa katika muktadha wa Siasa za hapa kwetu Tazania.

Ni vyema wanasiasa na watanzania kwa ujumla kubadili tamaduni hii , Na kuviita vyama majina kulingana na  Msimamo na  Dira zake.

Eidha Vyama vya Mlengo wa Kulia au Vyama vya mlengo wa Kushoto.

Mfano Chama Cha Mapinduzi (CCM): Kina mwelekeo wa kihafidhina katika masuala ya kijamii (maadili ya jadi, familia, dini), na kinaunga mkono uzalendo, usalama wa taifa, na uongozi wa juu wenye mamlaka makubwa. Kiuchumi, kimetoka kwenye ujamaa kwenda kwenye uchumi wa soko huria – hivyo kipo katikati lakini chenye tabia za mlengo wa kulia.

Aidha: CHADEMA ni chama cha mlengo wa kushoto wa kati (center-left), kinachounga mkono demokrasia, haki za kijamii, na usawa wa kiuchumi bila kuwa cha kisoshalisti au cha mapinduzi.

KWA UPANDE WA:ACT-WAZALENDO ni chama cha Mwelekeo: Kushoto (progressive left) kwani kinafuata misingi ya usoshalisti wa kisasa, kwa kusisitiza Umiliki wa pamoja wa rasilimali za taifa, Haki za kijamii na kiuchumi, Maendeleo shirikishi, Uwajibikaji wa viongozi kwa wananchi. Chama hiki kimekuwa na msimamo mkali dhidi ya ukosefu wa usawa, ufisadi, na utawala wa mabavu.

Kumbuka: ACT-Wazalendo kimeendeleza baadhi ya misingi ya Mapinduzi ya Zanzibar na TANU ya zamani, kikisisitiza maadili ya Ujamaa (kwa mtazamo wa kisasa).

Maoni yangu
Naunga mkono hoja, kauli huumba, kitendo cha CCM kuitwa chama tawala, tunakuwa tumekiundia CCM kutawala milele hii nchi yetu Tanzania Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.

Na kitendo cha kuita vyama vya upinzani, tunakuwa tumeviumbia pinga pinga, kazi yake inakuwa ni kupinga tuu!.

At the moment, there is no way kulibadili jina la CCM kutoitwa chama tawala, kwasababu CCM ni kweli inatawala, ila tunaweza kubadili jina la chama
tawala na vyama vya upinzani, kuwa chama shinda
na vyama shindani, au chama shika na vyama shikizi.

Ile hoja yangu ya siku nyingi humu kuhusu CCM kuwa sio tuu ni chama cha siasa, CCM ni chama dola, ni dola! CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!
P
 
Back
Top Bottom