Siamini Baltasar Engonga alikuwa na hela za kuwarubuni wake za watu wazito waliohusika kwenye sakata hili. Tatizo ni wanawake wenyewe

Hivi atashitakiwa kwa kosa gani?
Kwanza yupo Rumande Kwa Madai ya Ufisadi.
Hana kosa la kushitakiwa kwa kutembea na Wanawake hao 400+ coz hakukua na Ubakaji wote walitaka wenyewe na walikua wanajua wanarekodiwa, na walikua wanatoa Ushirikiano Vizuri Sana.

Shtaka ambalo wanamvizia nalo kuhusiana na Madai ya kutembea na hao Wanawake wote, ni kwenda kumpima kama ana Ukimwi, coz Wanawake wote alitembea nao pekupeku.
Wakimkuta na Ukimwi ndo atashtaki Kwa kosa la kusambaza Ukimwi....!
 
Poleni wahanga
 
Ametoka
 
HII DHAMBI IPO PAGE GANI HUKO INSTAGRAM NA SISI TUKAPATE DHAMBI JMN!!
 
Hatoboi watamkama kwenye kesi ya kutumia vibaya ofisi za umma na madaraka hachomoki hapo.
 
😃😃😃😃Piga chuma Gunman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…