Siamini....Bibi kumbe member JF!!

Hivi babu si ulikuwa potential figure wa hili li chama la ma-infiii? au ulikuwa kule kwa ma-anti-infiiii!??

Gaijin popote pale ulipo.......wameshaanza kuniharibia.
 
Wacha niombe access ya data server kwa invizibo....surely will work....

Tatizo ana password yangu tayari, na yale maPM uliyokuwa unanitumia kuhusu kuhamasisha kuongeza wanachama sikuyafuta. Sijui itakuwaje.
 
Halafu nashangaa sijui huyu bibi hajaona hii thread au ndio kaamua tu kuipotezea watayamaliza nyumbani
 
Usijali babu
bibi haangali mambo ya nyuma

Nk kweli kabisa kwa sababu


" kivuli hakina rangi"


Kama ambavyo.

"Hodi" ya chooni haiitikiwi "karibu"


BTW hapo kwenye red, hizi lugha za vijana umejifunzia wapi?
 
Gaijin popote pale ulipo.......wameshaanza kuniharibia.


Basi babu nanyamaza kimya.....mimi sio ntukutu..........Umegundua bibi ni wa lini humu?

Kama ni mpya nina kambinu kidogo ka kukushauri babu
 
Basi babu nanyamaza kimya.....mimi sio ntukutu..........Umegundua bibi ni wa lini humu?

Kama ni mpya nina kambinu kidogo ka kukushauri babu
Humu ndani ni wa lini? Hebu soma mwenyewe hapa chini:

Join Date : 28th February 2011
Location :
Posts : 431
Thanks
184
Thanked 98 Times in 81 Posts
Rep Power : 21
 
Naona kama mpwa anatumia nguvu nyingi kukutambulisha,mie nimeshafanya hesabu bana 2+2=4,kinachonishangaza kwanini 2*2=4 ndo maana nakusubiria ujitokeze mwenyewe

We mtu hatari sana asee!

Ngoja niwahi toilet mara moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…