The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Anawasoma tu kwanza ngoja muje muanze kula ngumi za uso lolBibi mbona hajitokezi tumsalimie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anawasoma tu kwanza ngoja muje muanze kula ngumi za uso lolBibi mbona hajitokezi tumsalimie
Hebu wasalimie wajukuu zako huko kwanza, acha longolongo nyingi.
Hehehehe....leo sijui itakuwaje manake unaweza
Kuomba pumzi maiti......
Ndo utajua kuwa
Kivuli hakina rangi
Gaijin popote pale ulipo.......wameshaanza kuniharibia.
Babu yetu sharobaro wewe, hutaki bastola kwa kuwa ni nzito unataka manati.Babu anaiamini manati kuliko bastola.
Gaijin popote pale ulipo.......wameshaanza kuniharibia.
Humu ndani ni wa lini? Hebu soma mwenyewe hapa chini:Basi babu nanyamaza kimya.....mimi sio ntukutu..........Umegundua bibi ni wa lini humu?
Kama ni mpya nina kambinu kidogo ka kukushauri babu
Umechelewa kumtambulisha mwache ajitambulishe mwenyewe
Humu ndani ni wa lini? Hebu soma mwenyewe hapa chini:
Join Date : 28th February 2011
Location :
Posts : 431
Thanks
184
Thanked 98 Times in 81 Posts
Rep Power : 21
We mtu hatari sana asee!
Ngoja niwahi toilet mara moja.