Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Hapa ni Babu na maslahi yake. Unajua kusoma katikati ya mistari?
Hivi Keren_Hapuch umemficha wapi?
Ukimwona mwambie nammisi sana eti.
hawa wabibi ni wakali sana,hakawii kuanzisha ligi na wajukuu ambao tuko wengi.....leo biryday yako,siwezi kosa kaka yangu....na najua ndo sehemu ya kumpata babu cha mwisho mwisho kabla bibi hajazoea JF akaleta za kuleta....l.o.l....mimi zaidi ya maneno matamu sina agenda na babu....:bange:
Dah!! Kwa vile ni sikukuu yangu leo basi ngoja nikupe uhuru ila usivuke mipaka ni leo tu, huyu babu naye asije akafanya kisingizio akazoea sasahawa wabibi ni wakali sana,hakawii kuanzisha ligi na wajukuu ambao tuko wengi.....leo biryday yako,siwezi kosa kaka yangu....na najua ndo sehemu ya kumpata babu cha mwisho mwisho kabla bibi hajazoea JF akaleta za kuleta....l.o.l....mimi zaidi ya maneno matamu sina agenda na babu....:bange:
Hahaha lol!!!!We dogo unaharibu muvu ya babu ujue. Real Madrid mkubwa we!
Ngoja bibi aone hapo kwenye RED ukinitafuta mie nina kukana kama YUDA vileHapo kwenye red, Michelle pafunike mpaka watoto walale bana. Hahahahahaha LOLZ
Ngoja bibi aone hapo kwenye RED ukinitafuta mie nina kukana kama YUDA vile
Hapo kwenye red, Michelle pafunike mpaka watoto walale bana. Hahahahahaha LOLZ
Unajuaje kama Michelle ndo bibi mwenyewe? Stuka dogo!
Mkongojo kama Schalke 04We dogo....mwone kwanza miguu kama Real Madrid!
We bibi, hebu ongeza font size bana, unamuua babu macho.
Afu ushakamua maziwa? Ukiuza usisahau kunichukulia ugoro hapo kwa mama Seberee.
Bibi ameipata hiyo
anaifanyia kazi
Dah!! Sijui Babu kakupa nini aiseeNikane uone,nitakukana panapoumiza zaidi....usijaribu hili kabisa.....you know what am talking about....:bange:
Tatizo nawe umeamua kujidisclose kinyume na makubaliano yetu.......harakaharaka ya nini sasa?
Hii sijui ndio inaitwa mwenda pole ndio mla nyamaTatizo nawe umeamua kujidisclose kinyume na makubaliano yetu.......harakaharaka ya nini sasa?
Dah!! Sikuwahi kujuaNg'ombe wote midume
Sasa nawe unampendea nini hivi hajakuumiza muulize Lizzyusiwe na hofu,sitaki kuamini alikuahidi na ukaamini kwamba uko mwenyewe mpendwa....not the Babu we know,he is too good to be handled by a one woman...
usiwe na hofu,sitaki kuamini alikuahidi na ukaamini kwamba uko mwenyewe mpendwa....not the Babu we know,he is too good to be handled by a one woman...