Siamini....Bibi kumbe member JF!!

Siamini....Bibi kumbe member JF!!

babu naona ishakuwa tabu...tutaongea baadaye akienda kuongea na wifi.....!!

Asikuzengue huyo, hata akiwa na Mama Salma, we ongea na babu yako tu. Usijali huyo dogo ni kama Casillas..... Messi anamtoboa atakavyo.
 
Ha ha ha hili pose la Kisharo b mambo vipi? long time. Hongereni nasikia Preta ana Mapacha.

Mie nahisi ni la kisharomillionea, Siitikii asante ngoja mwenye aje adadavue hapa then thread itafuata. :happy::happy::happy:
 
mchezaji bora duniani,mwenye akili na kasi ya ajabu kwenye mechi na mwenye uwezo wa kufunga magoli ya kutosha.....:bange:

Anayeichezea timu imara na yenye hshima Barcelona a.k.a babu..........njoo nichezee mama, ucheze kwa raha zako, ufunge magoli utakavyo, idadi unayoitaka na kwa style uitakayo pia.
 
Siendi ng'o ngoja nimwambie wifi yako asije kwanza hiyo baadae naona Babu anataka kujifanya yeye Barcelona

Hapo kwenye red....hiyo ni act calling...you have been notified and warned accordingly.

Babu atajifanyaje sasa?
 
Na uzuri wako una-Post Via Mobile..


Afu sikumbuki kama nlishakukagua wewe. Hebu ukuje huku tudumishe mila.

Niko mlimani nakuombea,hata hv ujio wa bibi ni mzuri maana naona umerejesha ukaguzi,,:smile:
 
Anayeichezea timu imara na yenye hshima Barcelona a.k.a babu..........njoo nichezee mama, ucheze kwa raha zako, ufunge magoli utakavyo, idadi unayoitaka na kwa style uitakayo pia.

Babu hapo kwenye blue bibi hajaona vizuri hebu msome
 
hahaaaaaaaa babu hii post imenifurahisha sana inabidi tufunge plasta vidole kupunguza spidi .................anaangalia mwenyewe:bange::happy:
 
Back
Top Bottom