Siamini....Bibi kumbe member JF!!

I want the world to know how happy and proud iam,to have you,it doesn't matter if am the third of even the twentieth woman in your life.....:bange: am tired of hiding..l.o.l
Si ajabu leo utakuwa umepata cha Malawi lol:bange::bange:
 
Ng'ombe wote midume
Yale majike ulimuuzia nani....mbona sijaona hela zake?

usiwe na hofu,sitaki kuamini alikuahidi na ukaamini kwamba uko mwenyewe mpendwa....not the Babu we know,he is too good to be handled by a one woman...
Thanks honey...mbichwa umevimba huo...LOL

Dah!! Sijui Babu kakupa nini aisee
Wivu siyo dawa!

I want the world to know how happy and proud iam,to have you,it doesn't matter if am the third of even the twentieth woman in your life.....:bange: am tired of hiding..l.o.l
You can say that again, again and again.

Kama Mfalme Suleiman
Hahahaha.....bibi bana LOL
 
Ngoja niongee na mama nimwambie umenibadilikia huku

Nakupeleka Rehab muda si mrefu huyu Babu ni muharibifu kabisa

he he he kuwa na wewe JF ishakuwa tabu....yaishe kaka yangu.....Happy Birthday,usimuharibie mama siku yake....nitaacha :bange:
 
Kuna haja ya huyu Babu kuukata mkongojo wake, leo ukirudi hakuna kutoka nyumbani na ukitoka tunatoka wote its my Birthday and you have to be by my side no excuse on that
 
Hahahaha....dogo unapiga kona halafu unawahi kwenda kufunga mwenyewe!

Michelle stuka!
 
Kuna haja ya huyu Babu kuukata mkongojo wake, leo ukirudi hakuna kutoka nyumbani na ukitoka tunatoka wote its my Birthday and you have to be by my side no excuse on that

I will be there,no doubts....lakini kwa party babu si kaalikwa? siruhusiwi hata kumsalimu??:caked:
 
Atakuwa amepangiwa sehemu yake unaruhusiwa kumsalimia ila hatokaa sana aende nyumbani mapema akalale sawa
 
babu naona ishakuwa tabu...tutaongea baadaye akienda kuongea na wifi.....!!
Siendi ng'o ngoja nimwambie wifi yako asije kwanza hiyo baadae naona Babu anataka kujifanya yeye Barcelona
 
I will be there,no doubts....lakini kwa party babu si kaalikwa? siruhusiwi hata kumsalimu??:caked:

Babu huwa haalikwi. Babu anahudhuria by default!

Tutaonana kule, dogo hana mamlaka ya kukuzuia usizoze na babu yako. Utaninong'oneza utakavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…