Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Mkuu mzima?Ila mkuu ninapenda mizigo ila wewe umenizidi aseeeh
Ha ha ha ha ha ha ha haaaaKalitendee haki jina lako.
Mzima swahiba sijui weweMkuu mzima?
Mi niko poa tu mkuuMzima swahiba sijui wewe
Acha kabisa mkuu, wakati mwingine natamani ningehamia nao sayari ya Mars. Kuna jamaa yangu mmoja ananiambia hadi siku ya kiama ataangalia upande upi mizigo mingi ilipoelekea na yeye anaenda hukohuko.Ila mkuu ninapenda mizigo ila wewe umenizidi aseeeh
Ndo hivo hivo inaandikwa mkuu Genta.. Sema ukiiweka kiswahili unaona ni matusi.. Ila hili ni jina la kilugha wala sio matusi ni salamu..ID yako hivyo ndivyo inavyopashwa kuandikwa au ulikuwa unataka kumaanisha vingine Mkuu kwani kwa sisi Watu tuliozaliwa na kukulia hii mikoa ya Pwani inatupa ' ukakasi ' sana kuielewa.
Una uhakika sio mimi kweli nilikuambia hivo?Acha kabisa mkuu, wakati mwingine natamani ningehamia nao sayari ya Mars. Kuna jamaa yangu mmoja ananiambia hadi siku ya kiama ataangalia upande upi mizigo mingi ilipoelekea na yeye anaenda hukohuko.
Kwani vipi jamani.. Kuna mwenye tatizo hapo..
Hahahahaha.
Happy Pasaka to u all
Ndo hivo hivo inaandikwa mkuu Genta.. Sema ukiiweka kiswahili unaona ni matusi.. Ila hili ni jina la kilugha wala sio matusi ni salamu..
Du imagine ndiyo mchumba, unamtambulisha nyumbani huku kwetu, anaitwa Bwana N Mushi.
Du imagine ndiyo mchumba, unamtambulisha nyumbani huku kwetu, anaitwa Bwana N Mushi.
Unajua Naantombe ni salamu kwa kikwetu.. Yaani nikisema kwa mfano.. Naantombe Genta.. ni sawa sawa na nimesema Umeamkaje Genta... Ukiieleta kwa kiswahili ndo hapo kunakuwa na ukakasi ila kwa maana halisi ya neno lenyewe wala halina utovu wowote wa nidhamu.. Binafsi Naantombe nimelifanyia usanifu tu ila Mushi kweli ni Surname yangu
Duuh haya bwana....."tupewe nini sisi".unaongelea hii meli iliyoti nanga?