Siamini hii chura naila kesho.. Swalalaahh

Siamini hii chura naila kesho.. Swalalaahh

Ila mkuu ninapenda mizigo ila wewe umenizidi aseeeh
Acha kabisa mkuu, wakati mwingine natamani ningehamia nao sayari ya Mars. Kuna jamaa yangu mmoja ananiambia hadi siku ya kiama ataangalia upande upi mizigo mingi ilipoelekea na yeye anaenda hukohuko.
 
ID yako hivyo ndivyo inavyopashwa kuandikwa au ulikuwa unataka kumaanisha vingine Mkuu kwani kwa sisi Watu tuliozaliwa na kukulia hii mikoa ya Pwani inatupa ' ukakasi ' sana kuielewa.
Ndo hivo hivo inaandikwa mkuu Genta.. Sema ukiiweka kiswahili unaona ni matusi.. Ila hili ni jina la kilugha wala sio matusi ni salamu..
 
Acha kabisa mkuu, wakati mwingine natamani ningehamia nao sayari ya Mars. Kuna jamaa yangu mmoja ananiambia hadi siku ya kiama ataangalia upande upi mizigo mingi ilipoelekea na yeye anaenda hukohuko.
Una uhakika sio mimi kweli nilikuambia hivo?
 
Ila mkuu ninapenda mizigo ila wewe umenizidi aseeeh
Hahaha mkuu Daby na mimi unaniweka nafasi ya ngapi.. Ki ukweli naishi hoteli moja hapa kuna mtoto ana mzigo sijawahi ona... Tangu jana na solve equations ila sijapata jawabu kwamba nimle ama la, maana ameshanielewa
 
Kwani vipi jamani.. Kuna mwenye tatizo hapo..

Hahahahaha.

Happy Pasaka to u all
images%282%29.jpg

angalia usije ukaliwamo wewe!!!
 
Ndo hivo hivo inaandikwa mkuu Genta.. Sema ukiiweka kiswahili unaona ni matusi.. Ila hili ni jina la kilugha wala sio matusi ni salamu..

Kwahiyo na Mimi nikijiita labda Naantombe Mussolin5 au Naantombe Nifah au Naantombe kadoda11 au Naantombe Sky Eclat au Naantombe mshana jr itakuwa ' poa ' tu Mkuu? Naomba ' ufafanuzi ' wako uliotukuka tafadhali juu ya hili.
 
Mkuu upo Korea au China naskia wanakula sana chura mpaka snake hasa black mamba na vinyonga jitahid upige na hao ukirudi tupe mrejesho mkuu wangu...
 
Kwahiyo na Mimi nikijiita labda Naantombe Mussolin5 au Naantombe Nifah au Naantombe kadoda11 au Naantombe Sky Eclat au Naantombe mshana jr itakuwa ' poa ' tu Mkuu? Naomba ' ufafanuzi ' wako uliotukuka tafadhali juu ya hili.
Unajua Naantombe ni salamu kwa kikwetu.. Yaani nikisema kwa mfano.. Naantombe Genta.. ni sawa sawa na nimesema Umeamkaje Genta... Ukiieleta kwa kiswahili ndo hapo kunakuwa na ukakasi ila kwa maana halisi ya neno lenyewe wala halina utovu wowote wa nidhamu.. Binafsi Naantombe nimelifanyia usanifu tu ila Mushi kweli ni Surname yangu
 
Back
Top Bottom