Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Utamaduni wa kujiuzuru kwa viongozi wa CCM haupo na haujawahi kuwepo.
Tunapoona kiongozi yoyote wa CCM anaomba kujiuzuru basi kwa 100% tunajua ni shinikizo kutoka ndani sana likiratibiwa na mfumo chini ya kiapo cha mwenye mamlaka kuu ya nchi.
Kisa cha kujiuzuru kwa Jumbe wakati akiwa rais wa Zanzibar ndio darasa zuri la kurejelea kujiuzuru kwa makada wa juu wa CCM wa zama hizi.