Siamini kama Hamisa Kamaanisha

Hahahaha eti bifu na condom jaman hahaa
Alimpost yule Zuhura. Lulu nae muda wake wa kuporwa umefika. Na yule baba alivyo na bifu na condom sijui kama Lulu hatakuta G wake keshapewa mtu mwingine
 
Hawakuwa wanadate itakua Zuu alikua anamuelewa Maji ila maji alikua anakula kisela. We mwanaume anaekupenda anaweza kweli kukuomba umuunganishie mwanamke?
Ndiyo hapo sasa itakua alikua anakula kisela, ila bado Zuu ana moyo labda na hizo hela alizopewa zilichangia
 
Ana mpaka picha?? mi nachojua yule bwana kampora kwa mke wake na kamfanyia visa mke mwenzie mlokole fake yule. Ukiona bongo movie anajitia low key ujue kuna bwana wa mtu kamshika sasa anaogopa kumuexpose
Ndiyo picha niliziona nikashangaa , huyo kaka alikua wa kiarabu alikua mtu wake sema mstaarabu alisema hatozirusha anamuheshimu
 
Kweli nguo sio nguo. Kwa uchumi huu zitadoda tu kama boss wake aliambulia za uso kwwnye lipstick, ndala sijui mkeka na application nae ajiandae kwa hasara tu
Zile nguo jaman wataokununua ni malaya na vichaa mwenye akili timamu huwezi vaa eti dougimasta brand
 
Katika vitu ambavyo akili yangu haijakubali ni wewe kujitangaza mwanamke. Huna kabisa sifa za kike, zaidi labda jike dume.

Kama wewe umebadili jinsia yako.. basi kaa kimya kwa yangu upite hukooooo usinileteee shombo mimi
 
Kabisa. Wanafki balaa,ukiwa na wewe atasema wengine,akiwa na mwingine atakusema wewe.
Bongo movie uozo mtupu wanaojielewa wachache,kina irene paul,Jenifer kyaka (odama) yaani wachache mno.
Irene aliacha usshoga baada za Zamaradi kumdouble cross kipindi cha take one
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…