Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nirudie kusoma.![]()
Hainingii akilini kabisa kama Hamisa anaweza kumuonea huruma Lulu to zis extent...
![]()
Hainingii akilini kabisa kama Hamisa anaweza kumuonea huruma Lulu to zis extent...
Naomba afanikiwe dhamana@peterkibatala ameyajibu. Kasema hivi 1. Amesema kuwa hakuna hukumu tofauti inayoweza kutolewa kabla mkuhukiwa hajatumikia robo ya kufungo chake ambacho kwa Lulu itakuwa ni miezi 5. 2. Ndani ya hiyo miezi 5 dhamana inaweza kuombwa wakati wakisubiria kukata rufaaa 3. Huwezi kuacha kijana wa miaka 22 mwenye maisha marefu mbele yake apate covinction ya uhalifu. Itaharibu maisha yake. Ndio maana wanakata rufaaa 4. Kukata rufaaa na kuomba dhamana pending appeal na kutumikia jamii ( community service) zinaweza kufanyika kwa wakati mmoja... . . Tulijitahidi kadri ya uwezo wetu na tutaendelea kujitahudi kuweka mambo sawa. Bado kuna nafasi kubwa sana ya kurekebisha kilichotokea. Hatuwezi kusema zaidi ya hapa, poleni wote mlioumiwa na kamwe hatuacha kumpigania..
Halafu team yake Inavyomdefend!!Ila yule nyaku nyaku hata seth alimuibia husna
Yule balaa ni risky taker haswaaa!Wanamwona mtakatifu, lady boss mtafutaji kumbe nae atafuta kupitia P kama wengine tu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Ana mpaka picha?? mi nachojua yule bwana kampora kwa mke wake na kamfanyia visa mke mwenzie mlokole fake yule. Ukiona bongo movie anajitia low key ujue kuna bwana wa mtu kamshika sasa anaogopa kumuexpose
Kuna kipindi alifumaniwaga ujue akataka kuachwa ndo alipoitoa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Au bidada aliambiwa abebe apewe pete akaona hola akaamua kujimunaluv tu
Halafu team yake Inavyomdefend!!
Wanamwona mtakatifu, lady boss mtafutaji kumbe nae atafuta kupitia P kama wengine tu
Ngoja nirudie kusoma.
@peterkibatala ameyajibu. Kasema hivi 1. Amesema kuwa hakuna hukumu tofauti inayoweza kutolewa kabla mkuhukiwa hajatumikia robo ya kufungo chake ambacho kwa Lulu itakuwa ni miezi 5. 2. Ndani ya hiyo miezi 5 dhamana inaweza kuombwa wakati wakisubiria kukata rufaaa 3. Huwezi kuacha kijana wa miaka 22 mwenye maisha marefu mbele yake apate covinction ya uhalifu. Itaharibu maisha yake. Ndio maana wanakata rufaaa 4. Kukata rufaaa na kuomba dhamana pending appeal na kutumikia jamii ( community service) zinaweza kufanyika kwa wakati mmoja... . . Tulijitahidi kadri ya uwezo wetu na tutaendelea kujitahudi kuweka mambo sawa. Bado kuna nafasi kubwa sana ya kurekebisha kilichotokea. Hatuwezi kusema zaidi ya hapa, poleni wote mlioumiwa na kamwe hatuacha kumpigania..
Doooh.. hivi kumbe zile story za kufumaniwa zilikuaga kweli??? basi boss wa efm kapenda kweli jamani kama mpaka kafumania na kasamehe?? shikamoo da Muna kumsaidia Lulu kumtuliza majiKuna kipindi alifumaniwaga ujue akataka kuachwa ndo alipoitoa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ila kwa mashauzi Mashallah kajaaliwa kaaah!yule Dada hapanaSi ndo maana aitwa Queen of mashauzi.. na bora kanyimwa kimo maana ufupi ule ila ana matashtiti balaa
Ndio tatizo hilo !hawataki uwe against name waoInsta bana usikohoe tofauti wewe ni mdhambi aiseee angefungwa enzi uchungu wa msiba bado mkali angepata laana na matusi ya kila aina
Aaah hamna mwenye kile kitengo bongo zaidi yake na ukichanganya ana maji ya picha tena ndo basi tena... sema tukutane live sasa kama kale kashape kanaonekanaga unabaki kushangaa mbona insta shape mashallah live waona patupuIla kwa mashauzi Mashallah kajaaliwa kaaah!yule Dada hapana