Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Alihack simu ya lulu akajua kua analiwa na viben10 .Doooh.. hivi kumbe zile story za kufumaniwa zilikuaga kweli??? basi boss wa efm kapenda kweli jamani kama mpaka kafumania na kasamehe?? shikamoo da Muna kumsaidia Lulu kumtuliza maji
Lulu ni kamati ya ufundi waganga wooooote anawajua yy!